Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Ipo siku lowasa atakua adui yake mkubwa ni mbowe,El was just used and eliminated na Dr slaa is the only sacrifice of CDM
Ninaamini hiyo siku haiko mbali!

Mbowe kwa sasa anafahamu Lowassa hauziki katika siasa, kilichobaki ni kumtupa nje ya CHADEMA ili aweze kutengeneza mazingira mengine ya biashara ya kisiasa.
 
CCM ingemsimamisha lowassa leo hii ingekuwa ni chama cha upinzani....
Kama CCM ingeyaogopa mafuriko fake ya Lowassa na kuamua kumsimamisha, bila kumung'unya maandishi, CCM kwa sasa ingekuwa imezikwa kwenye kaburi la kisiasa.

Kwa hali halisi ilivyokuwa, Rais Magufuli ameibeba CCM kwenye sanduku la kura badala ya CCM kumbeba yeye.

Lowassa alikuwa ni mzigo mzito ambao CCM wasingeweza kuubeba na kuvuka nao salama kwenye sanduku la kura hasa ikichukuliwa, wananchi wengi walikuwa wamekata tamaa na utendaji wa CCM.
 
CCM leo sijui tungejificha wapi kama tungemsimamisha FISADI Lowassa kuwa mgombea wetu wa urais. Dah! Asanteni sana wazee wa busara kusaidia chama. Pesa za ufisadi zingeua chama chetu.
Nimechangia kwa mdau mmoja hapa kuhusiana na hoja kama yako. Nimesema, Kama CCM ingeyaogopa mafuriko fake ya Lowassa na kuamua kumsimamisha, bila kumung'unya maandishi, CCM kwa sasa ingekuwa imezikwa kwenye kaburi la kisiasa.

Kwa hali halisi ilivyokuwa, Rais Magufuli ameibeba CCM kwenye sanduku la kura badala ya CCM kumbeba yeye.

Lowassa alikuwa ni mzigo mzito ambao CCM wasingeweza kuubeba na kuvuka nao salama kwenye sanduku la kura hasa ikichukuliwa, wananchi wengi walikuwa wamekata tamaa na utendaji wa CCM.
 
ndo tatizo la kutumwa kupost mambo ya ajabu humu ww umewahi kumsahau babako eti kisa kaachana na mamako acha upuuzi
 
mtoa maada umeeleweka, tunaendelea kutafakari, wanaokupinga wanajifurahisha tu
 
Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.

Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.

Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe

Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!

Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.

Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!

Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!

Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!

Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!

Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!

Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795. Body language ya Mbowe inaonyesha kushangaa madai ya Lowassa.

Upuuzi mtupu! Tumeshakupuuza.Simpakaa iwe sasa! Unaota kitu ambacho hakipo.
Hivi wewe unafki wa Zitto hauufahamu? hujui ni kwanini Arfi alitoka Chadema? Hivi hata upuuzi wa Dr Slaa angeuvumilia? Yaani mtu mkubaliane kitu,aende kwake akabadilishwe mawazo na mke wake halafu umsubiri wa wakati mnaongoza taasisi na kila mtu anawaona? Haya ndio matatizo ya kusimuliwa! Kama hujui kitu kaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
Mapambano yanaendelea ,, Utakuja kushangaa Lowasa yupo Ikulu

mkuu sijui umeingia wapi Siku hizi? Yaani utawezaje kutembea kwa kichwa ikiwa kutembea kwa miguu umeshindwa? Rudi nyumbani milango bado ipo wazi
 
CCM mngekuwa mmeshinda kihalali msingeangaika na Lowasa namna hii..
Najiuliza hata hizo 25% ya kura Pombe alizipata wapi.
Inawezekana neno kuhangaika hufahamu maana yake!

Hakuna anayehangaika na Lowassa katika thread hii.
 
CCM leo sijui tungejificha wapi kama tungemsimamisha FISADI Lowassa kuwa mgombea wetu wa urais. Dah! Asanteni sana wazee wa busara kusaidia chama. Pesa za ufisadi zingeua chama chetu.

Naona lowasa hatoki vichwani mwenu, haya huko unapokusifia hakuna mafisadi, keshawaambia kuliko kubwabwaja mmpeleke mahakamani napo mnagwaya, mbona akina yona na mramba mliwapeleka, mpelekeni na lowasa muone mtakavyoumbuka
 
Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.

Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.

Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe

Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!

Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.

Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!

Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!

Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!

Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!

Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!

Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795. Body language ya Mbowe inaonyesha kushangaa madai ya Lowassa.

Uko sawa ndugu
 
Last edited by a moderator:
Is all about politics...siasa is nat static!! Yupo.wapi mrema? John cheyo? Aman kaborou

Sio mbowe na chadema tu kwenye siasa kilichobora kitatumika
 
Story za hekaya na abunuasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom