Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.

Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.

Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe

Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!

Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.

Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!

Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!

Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!

Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!

Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!

Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795. Body language ya Mbowe inaonyesha kushangaa madai ya Lowassa.

Mtu Mwelewa usoma na hisia za wananchi jinsi walivyopokea matokeo jiulize je ni kwa nini magufuli alipo tangazwa mshindi wa JMT hakukuwa na shamra shamra zozote?
Kabla haujajibu shirikisha ubongo kidogo kwa kutafakari.
 
Last edited by a moderator:
Acha mapambano yaendelee lakini yatakuwa nje ya CHADEMA ya Mbowe!

Mbowe has moved on from Lowassa politics.

Lowassa is going through a phase just like Augustine Mrema did.

Mrema Lyatonga alikuwa mjanja, haingii chamani mpaka apewe uenyekiti na ndio maana kadumu kwa muda wa kutosha. Lowassa ni mwanachama na aliyekuwa mgombea Uraiss !
 
Halafu Mbowe asivyo na aibu ya kisiasa, eti akataka kumpatia mke wa Lowassa ubunge wa viti maalum!

Kuna baadhi walidhani alichokuwa anataka kukifanya Mbowe ni heshima kwa Lowassa lakini kimantiki, hiyo ilikuwa ni dharau sana kwa familia ya Lowassa hasa ikichukuliwa, aina wa wanawake wanaopewa viti hivyo ndani ya CHADEMA na kazi wanazozifanya Dodoma wakati wa Bunge!

He!! Duh!
 
Li DJ Lnamtazama kiaina

Mbowe ana cheka ndani ya moyo wake.

Hata kuwepo pale unadhani ni kupoteza muda kwa sababu anafahamu Lowassa hakushinda kura za Urais wa Tanzania.

Lowassa yeye anadhani bado ana nguvu za kisiasa kama alizokuwa nazo wakati akiwa ndani ya CCM.

He's finished!
 
Lowassa is heavyweight politician over magufuli who is a lightweight politician but lowassa was carried by a lightweight political part compare to magufuli thus why lowassa became a loser and magufuli become a winner. Match itself is a war,therefore when you lost the match you lost the war!!! Then there is a one side fight that can announce the winner!! Lowassa now is fighting alone!!!! Said o kawamba!!!!

I am struggling to get your message. Will you please re write in ki Swahili.
 
Halafu Mbowe asivyo na aibu ya kisiasa, eti akataka kumpatia mke wa Lowassa ubunge wa viti maalum!

Kuna baadhi walidhani alichokuwa anataka kukifanya Mbowe ni heshima kwa Lowassa lakini kimantiki, hiyo ilikuwa ni dharau sana kwa familia ya Lowassa hasa ikichukuliwa, aina wa wanawake wanaopewa viti hivyo ndani ya CHADEMA na kazi wanazozifanya Dodoma wakati wa Bunge!

Nilidhani mnamgwaya ENL pekee, kumbe hata Mkewe....
 
wanadi wasinadi USHINDI LAZIMA, walishasema hawatoki ikulu kwa vikaratasi vya kura.. Yaani kivyovyote vile wangeshinda bila kujali Nani anagombea, yaani ukishakua mgombea wa urais tu kupitia sisiem ujue wewe ni oya oya !!!!!! Sawa na mechi ya stars na Algeria Ndo ingekua imeanza kule tukapigwa zile goli WIKI halafu Game ya marudiano ifanyike uwanja wa taifa Huku tukitarajia kupita ktk Hatua hiyo. Ni ndoto!!!!!

Unachojivunia na kutuambia ni kuwa hapakuwa na haja ya kupiga kura?
 
Upuuzi mtupu! Tumeshakupuuza.Simpakaa iwe sasa! Unaota kitu ambacho hakipo.
Hivi wewe unafki wa Zitto hauufahamu? hujui ni kwanini Arfi alitoka Chadema? Hivi hata upuuzi wa Dr Slaa angeuvumilia? Yaani mtu mkubaliane kitu,aende kwake akabadilishwe mawazo na mke wake halafu umsubiri wa wakati mnaongoza taasisi na kila mtu anawaona? Haya ndio matatizo ya kusimuliwa! Kama hujui kitu kaa kimya.

Ulikalilishwa bwana wewe! wakati Dr Slaa anamkaribisha Lowasa we ulikuwepo?siumeaminishwa tu na unaowaamini kisiasa ambao walishamaliza kazi na Slaa na sasa kuhamia kwa Lowasa,unadhani watakueleza nini tofauti na kumponda Dr Slaa?we mtu mzima hujifikilii kua ghafla mtu walemfananisha na nabii wakamtoa nje na mtu waliemuita fisadi hafai wakamuingiza ndani ya chama na mala hiyo hyo akawa ndo mgombea wa urais kupitia chama kigeni kwake,hv hujifikirishi?unadhani kwenye hlo napo panataka elimu kubwa kuujua ukweli?wanasiasa wamewaharibu waTZ wamekua wavivu wa kufikili,I am sor na huo ndo ukweli
 
Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.

Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.

Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe

Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!

Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.

Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!

Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!

Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!

Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!

Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!

Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795. Body language ya Mbowe inaonyesha kushangaa madai ya Lowassa.

Mbona jk keshasahaurika?
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna watu nawadharau katika jukwaa ili
1.mzee mwanakijiji
2.msemajiukweli
3.idawa
n.b siyo lazima kila kitu uchangie ,pia siyo lazima kila siku uanzishe mada
ila kusoma wenzio wanasemaje ni jambo la hekima na busara kubwa sana
msipobadilika ipo siku idadi kubwa ya wanajf watawachoka na kuwadharau
kwanini nayasema haya?
Ipo siku nitawapa majibu stahiki
Umenena vyema sana, hao watu 3 na barbarosa wana upashkuna wa ajabu. Sitaki kujua kama ni wanaume
 
Back
Top Bottom