Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Acha mapambano yaendelee lakini yatakuwa nje ya CHADEMA ya Mbowe!

Mbowe has moved on from Lowassa politics.

Lowassa is going through a phase just like Augustine Mrema did.

Hivi unajua cheo cha Lowasa Chadema? Au unaropoka tu
 
CCM leo sijui tungejificha wapi kama tungemsimamisha FISADI Lowassa kuwa mgombea wetu wa urais. Dah! Asanteni sana wazee wa busara kusaidia chama. Pesa za ufisadi zingeua chama chetu.
 
Bado ng'ombe anamaziwa mengi acha wamkamue vitakapoanza chuchu kuuma ndo maziwa yamaishia hivyo atajitambua
Halafu Mbowe asivyo na aibu ya kisiasa, eti akataka kumpatia mke wa Lowassa ubunge wa viti maalum!

Kuna baadhi walidhani alichokuwa anataka kukifanya Mbowe ni heshima kwa Lowassa lakini kimantiki, hiyo ilikuwa ni dharau sana kwa familia ya Lowassa hasa ikichukuliwa, aina wa wanawake wanaopewa viti hivyo ndani ya CHADEMA na kazi wanazozifanya Dodoma wakati wa Bunge!
 
CCM ingemsimamisha lowassa leo hii ingekuwa ni chama cha upinzani....

Kwa tume gani?? Unafikiri sisiem haikumsimamisha Lowassa kwaajili ya ufisadi?? Kilichotokea hapo ni conflict of interest, yaani kundi tawala kuwa na hofu kua Mamvi akipewa meno awang'ata, thats all!!!! Usingekuwepo huo mgogoro wa kimaslahi wakamsimamisha Lowasa ANGESHINDA KWA KISHINDO ... Yaani sisiem hata ingemuweka Wema Angeshinda tu.
 
CCM mngekuwa mmeshinda kihalali msingeangaika na Lowasa namna hii..
Najiuliza hata hizo 25% ya kura Pombe alizipata wapi.
 
Bado ng'ombe anamaziwa mengi acha wamkamue vitakapoanza chuchu kuuma ndo maziwa yamaishia hivyo atajitambua
Vipi ule mradi wa ukuu wa shule na udiwani ndani ya CCM uliishia wapi?
 
CCM leo sijui tungejificha wapi kama tungemsimamisha FISADI Lowassa kuwa mgombea wetu wa urais. Dah! Asanteni sana wazee wa busara kusaidia chama. Pesa za ufisadi zingeua chama chetu.
We dada hamida ccm inawenyewe wewe utabakia kusafisha vyoo vya hapo lumumba tu.
 
Uzuri watanzania wanaenda na Matukio single za Lowasa zishachuja kabisa saizi ni hapa kazi tu. Tunasubiri kusikia habari za baraza la mawaziri
 
Kama kuna watu nawadharau katika jukwaa ili
1.mzee mwanakijiji
2.msemajiukweli
3.idawa
n.b siyo lazima kila kitu uchangie ,pia siyo lazima kila siku uanzishe mada
ila kusoma wenzio wanasemaje ni jambo la hekima na busara kubwa sana
msipobadilika ipo siku idadi kubwa ya wanajf watawachoka na kuwadharau
kwanini nayasema haya?
Ipo siku nitawapa majibu stahiki
 
Kwa tume gani?? Unafikiri sisiem haikumsimamisha Lowassa kwaajili ya ufisadi?? Kilichotokea hapo ni conflict of interest, yaani kundi tawala kuwa na hofu kua Mamvi akipewa meno awang'ata, thats all!!!! Usingekuwepo huo mgogoro wa kimaslahi wakamsimamisha Lowasa ANGESHINDA KWA KISHINDO ... Yaani sisiem hata ingemuweka Wema Angeshinda tu.

Ama kweli Didas hakukosea kwamba kuna watu wanafikiri kwa kutumia makalio
 
Kama kuna watu nawadharau katika jukwaa ili
1.mzee mwanakijiji
2.msemajiukweli
3.idawa
n.b siyo lazima kila kitu uchangie ,pia siyo lazima kila siku uanzishe mada
ila kusoma wenzio wanasemaje ni jambo la hekima na busara kubwa sana
msipobadilika ipo siku idadi kubwa ya wanajf watawachoka na kuwadharau
kwanini nayasema haya?
Ipo siku nitawapa majibu stahiki

Ukiambiwa ukweli unatoa povu
 
Back
Top Bottom