Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Uzuri watanzania wanaenda na Matukio single za Lowasa zishachuja kabisa saizi ni hapa kazi tu. Tunasubiri kusikia habari za baraza la mawaziri
Kadri siku zinavyopita, Lowassa is becoming good for nothing in Tanzania politics!
 
Kama kuna watu nawadharau katika jukwaa ili
1.mzee mwanakijiji
2.msemajiukweli
3.idawa
n.b siyo lazima kila kitu uchangie ,pia siyo lazima kila siku uanzishe mada
ila kusoma wenzio wanasemaje ni jambo la hekima na busara kubwa sana
msipobadilika ipo siku idadi kubwa ya wanajf watawachoka na kuwadharau
kwanini nayasema haya?
Ipo siku nitawapa majibu stahiki
Kuwadharau kwako hakuwezi kuondoa ukweli wa hoja zao. Mbaya zaidi, unaendelea kusoma hoja zao wakati umeishawadharau.

Nikupe ushauri, unapomdharau mtu fulani, unatakiwa kuachana pia na kile kilichokufanya kumdharau.
 
Sijawahi kutukana humu ndani maana naamini it's the last resort, nadiriki kukuambia htumii kichwa na akili yako vizuri kufikiri. Badala yake kuna kiungo flani hivi kazi yake ni kutoa kitu flani chenye harufu ya kukera pua za waungwana. That is what you are!!!
Ni kupoteza muda kutukana mtu ambaye humfahamu na yeye hakufahamu!

Hili ni jukwaa la kujenga hoja na siyo kujifunza kutukana na aina ya matusi.

Hoja iliyiko mezani ni funzo kwa Lowassa kwa sababu ameanza kusahaulika mapema sana ndani ya CHADEMA.
 
Mkuu wa-Tanzania sasa hivi wana uelewa mkubwa sana. Huoni CCM wangekuwa na kazi kubwa sana ya kumnadi Edward N. Lowasa? kuliko ilivyokuwa kwa John P. Magufuli.
Kama CCM wangemsimamisha Lowassa wangeshindwa vibaya sana kwenye huu uchaguzi. Hili wala halina mjadala.

Katika uchaguzi huu, Rais Magufuli ameibeba CCM badala ya CCM kumbeba yeye.

Upinzani/UKAWA waliamua wenyewe kushindwa baada ya kumchukua Lowassa na kumfanya mgombea Urais.
 
Back
Top Bottom