Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Ujumbe, vijana waache kudanga.

Kuna kijana aiashi makumbusho hapo, ana subaru impreza na forester. Anadanga kupita maelezo. Ni ana mademu kama wote. Yaan haya yote anayomiliki ni kutokea migukoni mwa wanawake anaowarubuni. Chalii yangu kiama chako chajaa na anajisifiaga balaaa anawadanga. Iko siku
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.

Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Unapumulia mashne. Wanabadirikaga kwa sekunde tuu. Wewe subiri utaja sumulia. (Opportunists) hacha kabisa
 
mambo ya mapenzi bwana ,ukishafikiria kuachwa au kusalitiwa Sana ndo hasira inazidi kukujaaaa ukalipuka, muda ambao uko depressed kua na hobbies nyingi nyingi kama kufanya mazoezi,kusoma vitabu, angalia hata muvi zako nyingi Ili mradi tu usifikirie Sana na uondoe mawazo ya kishetani ,Time Heals .Na Furaha yako usimkabidhi mtu bwn especially kama huna commitment nae ya ndoa au mnalea,na usichukulie watu poa,usidharau mtu ,muache kistaarabu especially kama mlikutana njiani tu ..
 
Wachaga wa machame wafanye bidii kubadili hii mitazamo ya watanzania wengi dhidi yao. Si siri tena kuwa wamachame wanasifika kwa vitendo vya kikatili.

Mtoa mada kama we ni mwanaume huwezi mtetea neema kwa lolote lile.
Neema ni muuaji.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna masela wanasema wataanza kutembea na fire extinguisher, kariakoo saa hizi fire extinguisher hazikamatiki bei.......ama kweli mpalestina kaleta sokomoko..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜† ili kuimarisha ulinzi magetoni ni lazima tuwe na mitungi ya fire extinguisher
 
Hivi eeee!?

Halafu hao ndio wanaoolewa sana, niliwahi fanya ka research ka mahusiano serious nilishangaa wadada wengi wa kichaga wanapoingia kwenye mahusiano yanaishia ndoa

Nikachungulia harusi zinazofungwa kwenye kumbi tofauti nikakuta nyingi ya hizo zina wanawake wa kichaga.

Sasa ngoja nikachungulie hilo ulilosema la kupumulia mashine hapo nitarudi
Ni kweli mabinti kichaga wanaolewa sana. Wanawake wa kichaga wanajua kuonyesha thamani ya mahusiano wanapokuwa bado ni wapenzi au wachumba. Wanajua kustruggle na hivyo wanakuwa siyo wapiga mizinga kama waschana wengi walivyo. Mtoto wa kichaga akikupenda atakununulia zawadi kadha wa kadha kwa hela zake. Yanayotokea kwenye ndoa ni ya kusikitisha sana.
Walakini si wachaga wote, wapo ambao ni wanawake wema maisha yao yote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tet teh mimi tambua ukija kunizingua yatakukuta zaidi ya Neema πŸ˜€πŸ˜€
Sikuzingui asilani mie nataka penzi letu liwe pepo ya duniani! Tutalamba Glucose mpaka kieleweke hakuna kuchokana wala kusalitiana 😍😍😍
 
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.

Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Mabinti wa kichaga ni hodari wa kumpeleka mwanaume kwenye ndoa.
Hapo mkuu huwezi chomoka. Huyo mke tayari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe, vijana waache kudanga.

Kuna kijana aiashi makumbusho hapo, ana subaru impreza na forester. Anadanga kupita maelezo. Ni ana mademu kama wote. Yaan haya yote anayomiliki ni kutokea migukoni mwa wanawake anaowarubuni. Chalii yangu kiama chako chajaa na anajisifiaga balaaa anawadanga. Iko siku
Pole mkuu

Ukweli wenyewe ndo huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom