Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Huyu HAMY-D kwa wasio mfahamu ni kiongozi mwenye wadhifa mkubwa ndani ya CCM. Na kwavile napenda kufuata sheria za JF nisingependa kuliweka jina lake hapa jukwaani ila namshauri awe "great thinker" aache kuaibisha chama chake atakama chama kinaaibu kuliko Hamy-d
 
Natangaza kuwa kutoka leo tarehe 15/8/13 saa 3.10 kuwa ndo mwisho wangu kusoma habari yoyote ya huyu Hamy-D vinginevyo nitaugua presha ama ugonjwa wowote unaohusiana na kushtuka kwa moyo. Kwaheri Hamy D.
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
Ahhh kumbe ni hii mburula?
 
umeingilia mlango wa kutokea rudi magambani mkajadili ya kwenu ya CDM waachie wana CDM.
 
Mod tafadhali naomba kujua ni vigezo gani mtu anapata JF GOLD MEMBER kama huyu HAMY -D kwakuandika kilasiku habari za uchochezi kuhusu CHADEMA hapa jukwaani?
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
usiwe kama CCM kutubadilishia hoja za msingi -- sisi tunaongelea wale madiwani wale 8 Bukoba vipi kimenukaje nukaje? Umoja na Mshikamano ndani ya CCM bwawa limeingia ruba?
 
Huyu HAMY-D kwa wasio mfahamu ni kiongozi mwenye wadhifa mkubwa ndani ya CCM. Na kwavile napenda kufuata sheria za JF nisingependa kuliweka jina lake hapa jukwaani ila namshauri awe "great thinker" aache kuaibisha chama chake atakama chama kinaaibu kuliko Hamy-d

Mzee wa midevu nini au nape?
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
mwanachama yeyote wa chadema anaweza kuwa mwenyekitikwani uongozi wa chadema ni wakufuata katiba sio kama magamba mtu anaongoza kwa jinsi anavyojisikia
 
Hivi HAMY-D na MwanaDiwani ni watu tofauti? mbona uumbaji wa sentensi wao unafanana.....Sasa HAMY-D UMEINGIA LINI KWENYE SHUGHULI ZA UNAJIMU?mbona unauliza swali na kujijibu mwenyewe?hivi unabadilisha keyboard mara ngapi kwa mwezi?
 
Wewe HAMAD KWANN unahangaika kujificha,jitokeze watu wakuona naona unakuwa zaid ya mtumwa.
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
Na mimi katika tetesi zangu nimesikia mna mpango wa kumpa Kinana Urais mwaka 2015..Mtu mwenye mapepo hajijui ila akiombea likitoka akifunguka anajitambua kuwa alikuwa mwenye kifungo alichokuwa hakijui...Neno laja
 
Ona jamaa huyu alivyo muongo na mpuuzi eti mbowe anaambatana na Lema kwenye mikutano mikubwa na midogo. Hivi tunavyoongea Mbowe yuko kanda ya ziwa akiwa na Mnyika na makamanda wengine na Lema hayuko kwenye msafara huo. Hizo data amezipata wapi km sio mpuuzi?
 
Ndugu Hamy-D ingelikuw bora ukageuka na kuwa mzalendo na kuipenda nchi yako na watanzania,,Uyasemayo humu yanaonesha dhahili elimu uliyopewa na watanzania ni sawa wtz walipoteza fedha zao pasipo na matunda mithili ya mkulima apandae mbegu akitegemea kuvuna kingi zaidi ya alichokipanda mwishoe akambulia mabua matupu..Mfumo wa serikali yako umeoza kila sehemu hadi hata mtoto wa Chekechea anajua Taifa hili limeshindwa kuingia katika nchi tajiri ama zinazoinukia kiuchumi mfano wa India/Singapore kwa sababu ya rushwa na Ufisadi wa CCM tena hata kwa majina na sura wanatambulika leo ujidanganye kupotosha..La hasha.!
Better to have ignorance in the country rather than having educated people but not mind liberated.
 
Lema ni bonge la Jembe, kama ni kweli unayoyasema Hamida na sio kwa kuchagiza upate buku 7, basi jembe Lema akiwa Mwenyekiti magamba muziki wa Lema hamtaucheza. Kama Arusha aliwazidhibiti mkashindwa kuongoza hata kituo kimoja kati 136, 2015 mnaweza msipate hata mbunge mmoja...

Viva Lema,,, John Mnyika for President 2025.
 
mwenyekiti wa ccm ajaye lazima atoke kwenye genge la wauza sembe
 
Why usifatilie za TLP au CUF??stu.pid

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nimesema sababu kama ungekuwa makini kusoma post yangu kwa umakini.
 
Mimi ningekushauri Ungeliwashauri CCM kwanza mkamaliza kushughulikia ishu ya BUKOBA then ndio uje kuanza kushughulika na CHADEMA.

Wewe upo Tanzania au Rwanda?

Mbona mgogoro umemalizika zamani tu!
 
Ona jamaa huyu alivyo muongo na mpuuzi eti mbowe anaambatana na Lema kwenye mikutano mikubwa na midogo. Hivi tunavyoongea Mbowe yuko kanda ya ziwa akiwa na Mnyika na makamanda wengine na Lema hayuko kwenye msafara huo. Hizo data amezipata wapi km sio mpuuzi?

Lema anaenda Bukoba kwa chopa na akitoka hapo anaenda kum-join Mbowe Mara. Kama huna ratiba kaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom