Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Endelea kukipigia promo CHADEMA kila kukicha! Hongera

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
endelea kuishi kwa kusikia habari za kufikirika, CDM wapo makini sana, LEMA ni jembe sana lakini nafasi ya uenyekiti inahitaji mtu zaidi ya lema, kwenda na lema mikutanoni ama kutokea moshi pamoja hakualalishi yeye kuwa mwenyekiti, chama kina taratibu zake za kupata viongozi wake hivyo muda ukifika hilo litajulikana.
 
Hakuna cha kuangaika na CHADEMA, mimi kama mpenda amani sina budi kufatilia chaguzi za ndani za CHADEMA kwa lengo la kujua ni nani atakae kuwa mwenyekiti, huyu wa sasa zaidi ya kusababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kiasi kikubwa hapa nchi, hakuna la maana alilofanya. Je, mkimpa Lema itakuwaje?

mkuu HAMY-D nadhani kama ile nia ya Tendwa ya kuifuta CHADEMA ingefanikiwa bila shaka ungekuwa umeshafunga hii akaunti ya maana usingekuwa na cha kuandika tena
 
Ofcoz atakayemrithi

1) awe wa kaskazini priority mchaga

2) awe mkristu

Tupo hapa jf tutakuja kuyaona
 
Wewe niwa kupuuzwa tu.

Hakuna laana iliyo zaidi ya laana ya kujifanya wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere na kumkana baba yako mzazi.

Kwa lugha nyingine, ulikuwa unamlaumu mama yako kwa nini hakukutana na Mwl. Nyerere kimapenzi ili uwe mtoto kweli wa Mwl. Nyerere kitu ambacho kimekufanya mpaka sasa kuwa engross na nyendo za Mwl. Nyerere.

Watu kama wewe aibu kwao ni neno geni. Kujifanya wanajua kila kitu ndiyo silka yenu.

ume mmaliza ,amekoma hatorudia
 
Dr.zero;
We HAMY-D una taabu sana, Vipi kwenye genge lenu ccm nani atamrith£¿£¿ Kikwete uenyekiti...!?

Dr hapo sasa!

Dalili Zoteee Za Onesha M/kiti Ajaye Wa CCM atakuwa MUUZA UNGA, JANGILI & FISADI...
 
Unatuchosha sasa na habari za Chadema,kutwa kucha wewe na chadema. Sasa sie ambao ni Cuf na tunahitaji kujua yanayoendelea Cuf tufanyaje?
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Huna familia!
Ama Huna mke.
Kama una watoto umezaa tu hujaowa!
Kama umeowa mkeo ndo msemaji.
Hujaajiriwa wala kujiajiri.
Utakuwa kibarua tu somewhere!
Ukilala ukiamka unawaza utoto.
Buku saba hazikutoshi.
CHADEMA inakunyima usingizi.
Nyumba inaunguwa panya wanatoka humo, sisimizi wanakimbia,
mende wana kufa kuku wanahama. Wewe unang'ang'nia humo?
Makongoro Nyerere, Viwanja vya Sokoine Mbeya. 1995.
CCM sio baba wala mama yangu. JK wa Ukweli sio Kikwete!
 
Leo BAVICHA hawajatumia akili za Viongozi ndiyo maana wamegundua Lema ni kilaza hafai kuwa chair wao.
 
Anza kuona aibu kupost thread utumbo humu JF kila uchao. Umelala jana na ulichoota ndotoni ndicho umeleta hapa asubuhi yote hii. Kila uingiapo humu unatetemeka na huachi kuandika CHADEMA.

CCM hii unayoitetea, iliyochoka inajifia soon!

Moja ya sifa kuu kuwa member wa buku 7 eleven lazima uwe ZUZU.
 
Hakuna cha kuangaika na CHADEMA, mimi kama mpenda amani sina budi kufatilia chaguzi za ndani za CHADEMA kwa lengo la kujua ni nani atakae kuwa mwenyekiti, huyu wa sasa zaidi ya kusababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kiasi kikubwa hapa nchi, hakuna la maana alilofanya. Je, mkimpa Lema itakuwaje?

Why usifatilie za TLP au CUF??stu.pid

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Mimi ningekushauri Ungeliwashauri CCM kwanza mkamaliza kushughulikia ishu ya BUKOBA then ndio uje kuanza kushughulika na CHADEMA.
 
Dr.zero;
We HAMY-D una taabu sana, Vipi kwenye genge lenu ccm nani atamrith£¿£¿ Kikwete uenyekiti...!?

Dr hapo sasa!

Dalili Zoteee Za Onesha M/kiti Ajaye Wa CCM atakuwa MUUZA UNGA, JANGILI & FISADI...
Mwenyakiti atayekuja ndiye atapigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la nyinyiemu.
 
Back
Top Bottom