Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mie hata nashindwa kapatwa na nini labda ukae nae kwenye vikao vyenu umuulize unifahamishe
nilikuwa namtegea Judgement
Hapa cha msingi YNNAH si cha wewe kumtega Judgement!
Uliemtega tayari keshafyatua mtego!
Iwe kanasa, hajanasa or whatever! doesn't matter! Issue ni swali alilokuuliza charminglady mbona walikwepa?
Ukikaanga bisi , kula na uliowakaangia! Kuwaachia watafune mkaangaji umekaa pembeni havinogi ujue?
afu shem mbona hujamtaja mkeo beibe nasty???
nikijaribu kuunganisha dots nakutana na maswali mengi pasi na majibu... ulivyokuwa waumwa aliyeleta taarifa za ugonjwa ni YNNAH, leo mara unamtaja tena... vp ndo bi mkubwa au mdogo?????

Shem umeniuliza swali zuri sana.
Pamoja na kwamba umechelewa kuuliza, kuanzia pale ulipokua unaanza kuunganisha dot ya kwanza na ya pili .
Maskini ukasubiri mpaka nadhani umeunganisha dots 10 na ushee! You just steps aside your doubt concernin !
Be calmy my dear Shem nitakudiskraib soon.
Aidha kuhusu ulivyogusia ktk accident nilioipata taarifa hazikuletwa na BN hiyo ilikua ndani ya matashi yake haikua wise nimpangie.
Pia ukirejesha kumbukumbu nyuma mbona hata Erickb52 ameshawahi kutoa sredi ya kutambulisha jukwaa kuumwa kwangu, kabla ya YNNAH kutambulisha ajali. Ni vitu vya kawaida tu shem.
bado watu wanatajana?
asante my shem kwa ufafanuzi.... msalimie shosf angu beibe nasty!!!!
beeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!11
Wenzako wanawania taji, we unawania binadamu?
Mabwaku!!!!!
mimi mpenzi wangu ni Kipipi figganigga. mia