Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 653
- 530
Biblia inasema habari ya Zaka haukwepi
Nani alisema Mungu, anataka hela?
Nani alisema Mungu, anataka hela?
Huyo ni wale wa Ministry (siyo Church) ambao hawasomagi taarifa ya fedha na sadaka, bali zinakusanywa tu na kutumika bila ripoti, hawanaga hata mikutano ya mwaka ya kusoma mapato na matumizi. Falsafa yao ni kuwa huko ambako taarifa zinasomwa ndiko kuna vita kali ya fedha, kwamba ukiishaanza tu kusoma taarifa za sadaka basi ujuwe umekaribisha vita kwenye huduma. Fundisha/hubiri watu kutoa tu bila kutangaza walichotoa na kilivyotumika. Sometimes ukiangalia hii falsafa kwa umakini unaona ukweli fulani hivi!Wa kwetu hapa anatembelea vi8 anazo zaid ya kumi hilo jumba analoish balaa anawasaidiz binafs kibao na anatusisitiza ukitoa fungu dai risit kwa lugha nzuri jamaa anajiweza

chako kipi? Jamaa fungu la 10 ambayo itakua ni 10M mama akajikaza sana kutokana na ujinga wake wa kulewa kiimani kweli akamuingizia mchungaji 10M kweny accnt yake binafsi kama fungu la 10, mchungaji alivyokua Hana aibu akamuomba yule maza amuongezee 5M ili iwe 15M kuulizwa sababu? Akajibu Kuna gari anaipenda sana na hiyo ndo bei yake kwahyo akamuomba mama amuongezee 5M maza akampa jamaa akaenda kununua gari.Kwani Biblia si iko wazi? Kwanini usubiri kusomewa na Mchungaji? Zipo Biblia hata za kilugha. Tunaangamia kwa kukosa maarifa! Baghosha!Kuna kisa kimoja kilinifanya niamin haya mafungu ya 10 ni wizi mtupu
Kuna mama alifiwa na mume wake, yule mama alishiba sana imani na akawa anatoa fungu la 10 kila akipata hela, ilifika hatua Hadi hela za mikopo anatoa fungu la 10, baada ya maisha kuwa magumu aliamua kuuuza hiace yake kwa 10M kwakua alimuamin sana mchungaji alimuomba mchungaji amtafutie mteja kwahiyo hata hyo 10M ilipitia kwa mchungaji bila huruma wala kujua shida za yule mama , mchungaji alimpelekea mama 9M tu anamwambia kuwa 1M ni fungu la 10 ameikata juu kwa juu
Maisha yakaendelea lakin mambo yakazidi kuwa magumu biashara zikawa zimedorora sana ikafika hatua yule mama akaenda kuchukua mkopo wa 100M kupitia nyumba yake ili alipe madeni na kuboresha biashara yake siku ya kwenda kuchukua mkopo akaenda na bint yake pamoja na mchungaji baada ya hela kuingizwa kwenye accnt ya mama, yule mchungaji akamwambia mama "Nipe changu"chako kipi? Jamaa fungu la 10 ambayo itakua ni 10M mama akajikaza sana kutokana na ujinga wake wa kulewa kiimani kweli akamuingizia mchungaji 10M kweny accnt yake binafsi kama fungu la 10, mchungaji alivyokua Hana aibu akamuomba yule maza amuongezee 5M ili iwe 15M kuulizwa sababu? Akajibu Kuna gari anaipenda sana na hiyo ndo bei yake kwahyo akamuomba mama amuongezee 5M maza akampa jamaa akaenda kununua gari.
Yule mama Leo hii amefilisika lakin waliochangia kumfilisi kwa asilimia 50% ni Hawa watu wa dini hawa, hizi habari za fungu la 10 kama kweli unataka kutoa basi wapelekee mayatima na watu wasio jiweza kwa kuwanunulia mahitaji muhimu la sivyo utajikuta sadaka yako inatengeneza maisha ya watu binafsi tu kitu ambacho kinatafsirika ni utapeli
Toeni mifano ya kweliKuna kisa kimoja kilinifanya niamin haya mafungu ya 10 ni wizi mtupu

Hapo kwenye maongeo kapatazame upya,haiko hivyo Mungu hakuzungumzia umpatie Suplus,in fact he instructed to give before starting spending(the whole idea originated from the principle of firstlings).Ila the point ni kwamba A christian should give more than 10% for him to claim the blessing of tithing and he/she should specifically give for the advancement of ministry.Though not giving itself is not a sin.Yes uko sawa. Tatizo wahubiri wa Sasa wameifanya ni sheria yaani tumerudi kule kule na ndio maana inakuwa ngumu kwa watu kutoa ikishakuwa sheria then inakuwa shuruti mwisho inakuwa sio kwa moyo. Tangu miaka ya karibuni kuanzia nadhani 2005 baada ya Haya makanisa mapya kuingia ndo wakaja na hii upepo wa fungu la. 10 na pia kwa kujua ukweli na wasiiwambia watu kuwa kwa Mungu Sasa hakuna asilimia bali Kuna kutoa kwa MOYO ndo wameifanya shida kwa watu kutoa na pia wanasema kabisa ukishindwa kutoa Mungu anakullaani. Seriously?! Nilimsikia kabisa mtumishi ndani ya Kanisa langu akitamka maneno hayo.
Na shinda nyingine ambayo watu wameshindwa kueleweshwa kwenye ishu ya 10% na ndio maana ni ngumu kwa binadamu wa Sasa kutoa ni kuwa Mungu a aliagiza utoe fungu la 10 la "MAONGEO" Yaani kile kinachozidi kutoka kwenye shamba lako. Yaani kama ulipanga kuvuna magunia 50 ukapta 60 then 10% ya yale 10 yaliyozidi sio 50 uliyotegemea kupata. Alijua since zamani kwamba ni ngumu mtu kutoa kile chake ndio maana akawaambia watoe 10 ya MAONGEO maana Hiko kimezidi hukukitegemea. But now watumishi hawaelezi vzri wanamwambia tu muumini toa 10% ya upatacho hiyo ni ngumu na ndio maana ni 15% wanatoa hii kitu. Na hata ukiangalia mfano wa Abraham alitoa 10% ya vitu alivyo chukua Vitani (sio vyake maana alichukua vilivyozidi) so. Mtu wa mshahara anatakiwa atoe 10% ya bonus kama wanapewa ofisini kwao na sio 10% ya salary yake.
Mchungaj kauzuKuna kisa kimoja kilinifanya niamin haya mafungu ya 10 ni wizi mtupu
Kuna mama alifiwa na mume wake, yule mama alishiba sana imani na akawa anatoa fungu la 10 kila akipata hela, ilifika hatua Hadi hela za mikopo anatoa fungu la 10, baada ya maisha kuwa magumu aliamua kuuuza hiace yake kwa 10M kwakua alimuamin sana mchungaji alimuomba mchungaji amtafutie mteja kwahiyo hata hyo 10M ilipitia kwa mchungaji bila huruma wala kujua shida za yule mama , mchungaji alimpelekea mama 9M tu anamwambia kuwa 1M ni fungu la 10 ameikata juu kwa juu
Maisha yakaendelea lakin mambo yakazidi kuwa magumu biashara zikawa zimedorora sana ikafika hatua yule mama akaenda kuchukua mkopo wa 100M kupitia nyumba yake ili alipe madeni na kuboresha biashara yake siku ya kwenda kuchukua mkopo akaenda na bint yake pamoja na mchungaji baada ya hela kuingizwa kwenye accnt ya mama, yule mchungaji akamwambia mama "Nipe changu"chako kipi? Jamaa fungu la 10 ambayo itakua ni 10M mama akajikaza sana kutokana na ujinga wake wa kulewa kiimani kweli akamuingizia mchungaji 10M kweny accnt yake binafsi kama fungu la 10, mchungaji alivyokua Hana aibu akamuomba yule maza amuongezee 5M ili iwe 15M kuulizwa sababu? Akajibu Kuna gari anaipenda sana na hiyo ndo bei yake kwahyo akamuomba mama amuongezee 5M maza akampa jamaa akaenda kununua gari.
Yule mama Leo hii amefilisika lakin waliochangia kumfilisi kwa asilimia 50% ni Hawa watu wa dini hawa, hizi habari za fungu la 10 kama kweli unataka kutoa basi wapelekee mayatima na watu wasio jiweza kwa kuwanunulia mahitaji muhimu la sivyo utajikuta sadaka yako inatengeneza maisha ya watu binafsi tu kitu ambacho kinatafsirika ni utapeli
Hapa ulipohighlight wamezumgumzia Tithe for the poor ambayo hua inatolewa kila baada ya miaka 3,hii iko tofauti na ile ya Walawi....Actually zilikuwa zaka zipi za aina tatu.Hayo ndo maagizo ya MUNGU kuhusu fungu la 10. Sidhani kama yalishabadilishwaView attachment 2055371View attachment 2055372
Watu wanaombewa na wanapona lakini pia wapo wanaokufa.Mpango wa Mungu ni kumfanikisha mwanadamu ikitokea hufanikiwi jua somewhere kuna kitu hakiko sawa.Kwani Biblia si iko wazi? Kwanini usubiri kusomewa na Mchungaji? Zipo Biblia hata za kilugha. Tunaangamia kwa kukosa maarifa! Baghosha!
Maongeo hapa haijamaanisha Suplus,the key point ni kwamba kama mwaka huu umepata laki utatoa elfu 10,mwakani ukapata laki na ishirini basi utoaji wako usiwe kama wa mwaka jana kwa kuwa kuna increase,therefore utatoa according to the increase that you experienced in the particular year and for this case utatoa elfu 12Key point kwenye haya maagizo ni neno "MAONGEO" wengi wanayaruka Haya but yamebeba maana nzima
Umeelezea vyema sanaNdiyo maana nilichangia hapa kuwa tunafundishwa na kuhimizwa kuishi Agano la Kale la TORATI ya matoleo badala ya Agano Jipya. TORATI imekamilishwa kwenye Agano Jipya kwa UPENDO, na UPENDO huo huo ndiyo Mungu anasisitiza kwa kinywa cha Mtume Paulo kwamba TOENI KWA MOYO MKUNJUFU (Neno moyo mkunjufu maana yake ni kwa upendo na siyo Torati ya Manabii).
Hivyo basi Manabii walitufundisha kutoa kwa sheria (TORATI) Mitume wanatufundisha kutoa kwa moyo mkunjufu (UPENDO). Ukiisha kuwa na upendo moyoni mwako kwa Mungu wako basi kumbe huwezi kumuibia stahili yake kama Malaki anavyotufundisha kwenye sura ya 3:7-12. Tafsiri yake ni kuwa kwenye Agano Jipya moyo mkunjufu (Upendo) tunaofundishwa unaweza kutuongoza kutoa hata zaidi ya kikumi (siyo lazima pungufu ya kikumi au kikumi kamili).
kama haumudu kutoa maybe kipato chako hakitoshi unatakiwa upewe wewe kwakuwa hilo fungu la10 kazi yake ni pamoja na kuwapatia wasiojewezaKiukwel hiyo 15k haitosh kitendo cha kuipunguza ni kuongeza tatizo nadhan kanisa linapaswa libun namna mbadala kwa wale wasiomudu kutoa pesa km fungu la kumi
Imegawanyika hapo ipo ya WALAWI ya mwaka mmoja na miaka mitatu. Sijaona kwenye Bible wakisema 10% ya mwezi. Sababu the point ya 10% asili yake ni WALAWI hawakuwepa ardhi na ndio maana kokote Ambapo Bible ilitamka Dhaka mbele utakutana na. Mlawi sababu sikumpa ardhi. Na ndio asili ya hiyo 10%. Na ndio maana haikuwa pesa. Na pesa zilikuwepo. Pesa Uliruhusiwa kubadili pale tu Mlawi/unapopeleka ni mbali. Soma vzr hilo kumb la torati.Hapa ulipohighlight wamezumgumzia Tithe for the poor ambayo hua inatolewa kila baada ya miaka 3,hii iko tofauti na ile ya Walawi....Actually zilikuwa zaka zipi za aina tatu.
I understand everything kuhusu why Zaka zinatolewa kwa Walawi hili sio ishu kwenye hii convesation.Imegawanyika hapo ipo ya WALAWI ya mwaka mmoja na miaka mitatu. Sijaona kwenye Bible wakisema 10% ya mwezi. Sababu the point ya 10% asili yake ni WALAWI hawakuwepa ardhi na ndio maana kokote Ambapo Bible ilitamka Dhaka mbele utakutana na. Mlawi sababu sikumpa ardhi. Na ndio asili ya hiyo 10%. Na ndio maana haikuwa pesa. Na pesa zilikuwepo. Pesa Uliruhusiwa kubadili pale tu Mlawi/unapopeleka ni mbali. Soma vzr hilo kumb la torati.
Hili 10% la Sasa ni doctrine mpya kabisa.