Fungu la Kumi: Ni lazima?

Fungu la Kumi: Ni lazima?

Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.

Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.

Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???

Ukipata hiyo kumi na tano kwa siku toa kabisa elfu na miatano ya fungu la kumi weka kwenye bahasha ndio uanze budget zako na kumi na tatu inayobaki
 
Hilo sasa sio fungu la kumi,huo ni msaada ambao Mungu anafurahi tukiwasaidia wengine na anatubariki lakini make no mistakes hilo sio fungu la kumi. Fungu la kumi halina substute.
Ili iwe fungu la kumi napaswa kumpa nan
 
My point ni kwamba hiyo buku jero unayosevu haitamaliza matatizo yako lakini kama ukimtolea Mungu atakubariki utoke kwenye kipato cha 15 kwa uende kwenye kipato cha likubwa zaidi. Na pia ataondoa majanga kwenye familia hivyo hata hicho kidogo unachokipata kitatosha kumudu maisha yako.
Buku jero huwa inakidh mahitaj yangu ya maji ya kunywa kwa siku
 
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.

Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.

Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Unatoa fungu la 10 kwani unajua MLAWI alipo?? AU unagawia tu watu?
 
Ili iwe fungu la kumi napaswa kumpa nan
Linatakiwa umpe Mjane Masikini Asiyejiweza au MLAWI (hapa naongelea kabila kama ambavyo Biblia ilisema) sio viongozi wa dini waliojipachika ULAWI wakati wao ni wamakonde. Pia Unaweza kutumia kwa mambo yako binafsi pia.
 
Mnasoma Biblia hamuelewi.Nashindwa kuelewa ni kwamba walimu hawawafundishi au ni wenyewe tu mmeamua kukataa kujifunza.

Sasa Walawi wanakujaje hapa?Role ya ukuhani wa kilawi hujui iliisha lini?Yesu alikuja kufanya nini sasa?Meseji ya Paul ilikuwa ni nini sasa? Agano jipya unalielewa kweli wewe?kama ungekuwa na majibu ya maswali haya usingeleta habari za ukuhani wa Walawi leo hii. I would understand if you are not christian but if you are its a shame.
 
Itakua poa km utatufafanulia walau kwa uchache ili nasi tukuze fikra kuhusu biblia
 
Kwenye buku kumi na tano yako daily tenga Buku jero kwa ajili ya fungu la kumi.Kwa maana hiyo pesa halali iliyokwenye mamlaka yako kuitumia ni shilingi 13500.Matumizi yako jitahidi yatoshe humo.

Kila kitu unachopata kama ujira wako kwenye kazi zako ni cha kwake(Mungu) anachotaka utoe Asilimia kumi tu ya hicho umrudishie kingine utumie.Na kwa kumrudishia hicho kidogo anakubariki wewe na familia yako.Kipato kinaongezeka a majanga yanapita mbali na familia yako.

Mungu pesa ya nini nyinyi nanyi mnaibiwa waziwazi kupitia fungu la kumi..
 
Fungu la kumi halina substitute.Hilo linatolewa kama lilivyo.The concept ni kutambua kuwa Mungu amekupa 15000 ili umpe 1500.Otherwise angekupa tu 13500.Kwa hiyo its not your money to decide its his money.

(Find a book called Financial Stewardship cha Andrew Wommack ameelezea vizuri sana humo)

Mungu pesa anaifanyia nini
 
Itakua poa km utatufafanulia walau kwa uchache ili nasi tukuze fikra kuhusu biblia
Trust me my friend,you should ATLEAST understand what the New Covenant is.By understanding only that it will help you answer many questions which are running through your head.
That is the only way you will grow your faith in Jesus.The Bible says without faith its impossible to please God.This literally means haijalishi unafanya mambo mazuri kiasi gani bila faith yote ni bure huwezi kumfurahisha Mungu.
 
Buku jero huwa inakidh mahitaj yangu ya maji ya kunywa kwa siku
Kutokutoa zaka sio dhambi na wala sio kigezo cha kukuzuia kwenda mbinguni.Kama unaona miyeyusho usitoe, buku jero yako kunywa maji.Lakini mambo yako yatakapokwama usiende mbele za Mungu na kuanza kulia WHY LORD?WHY? jibu tayari unalo.
 
Faza achana na hadithi za kusadikika, fanya kazi tengeneza maisha yako na familia yako. Barua iliandikwa kwa ajili ya Warumi wewe Mndengereko inakuhusu nini? Mambo ya Walawi wewe Mnyiramba yanakuhusu nini?
 
Mnasoma Biblia hamuelewi.Nashindwa kuelewa ni kwamba walimu hawawafundishi au ni wenyewe tu mmeamua kukataa kujifunza.

Sasa Walawi wanakujaje hapa?Role ya ukuhani wa kilawi hujui iliisha lini?Yesu alikuja kufanya nini sasa?Meseji ya Paul ilikuwa ni nini sasa? Agano jipya unalielewa kweli wewe?kama ungekuwa na majibu ya maswali haya usingeleta habari za ukuhani wa Walawi leo hii. I would understand if you are not christian but if you are its a shame.
Sasa wapi Paul alikwambia umpe fungu la 10 mchungaji???? Paul Alisema toa kwa moyo na si kwa sheria/shuruti. 10% ilikuwa chini ya sheria. Kama watoa kwa moyo then Moyo hauna asilimia basi una kile UNACHOWEZA KUTOA.
 
But as soon utakapotaja 10% then lazima turudi ilipoandikwa.... Na ndio maana sijawahi Kuon hata siku moja mtumishi akihubiri fungu la 10 then AKAENDA agano jipya bali lazima afungue agano la kale. Maana huko ndio Kuna maelekezo yake.
Na Mungu aliagiza wapi liende sijaona kifungu cha agano jipya hata huyo Paul akihamisha maagizo ya Mungu yaende tofauti na alivyosema. Paul Alisema tu kuwa MUNGU ANAPENDA MTU ANAYETOA KWA MOYO NA SIO KWA SHURUTI/SHERIA. na ndio maana watu wengi kama mtoa mada anashindwa kutoa vzr sababu hiyo haiko kWa moyo bali sheria na hata makanisani unaona kabisa wanalazimisha.
Kutoa kwa Moyo ni kutoa kile UNACHOWEZA kutokana na uwezo Wako sio watoa huku watoto Wako wanakaa na njaa. Ni Upuuzi.
 
Uko sahihi kabisa.Tangu mwanzo nimeeleza kutokutoa fungu la kumi sio dhambi na wala sio kigezo cha kwenda mbinguni but its the LEAST you can do.For believers we expect them to give more than that.

If you think you cant give atleast 10% of your income to support the Ministry that means you don't have a giving heart. Lets take a look at the new covenant ideas of giving,people gave more than that of ten percents asked by God.People sold their houses and lands to support the Ministry.

Agano Jipya limeondoa laana ya sheria,limeondoa ile hali ya usipofanya hiki Mungu atakuadhibu namna hii,ila aspect ya baraka imebaki pale pale.Utapotoa basi utabarikiwa na kiwango cha kuabarikiwa kwako kitategemea utaoji wako.Mungu hakubatilisha kutoa kwa ajili ya huduma on the contrary he expect a believer to give more than 10% for that matter.

Hulazimishwi kutoa ila hutapata baraka zunazoambatana na utoaji na make no mistakes kutoa kwa ajili ya kusaidia watu na kutoa kwa ajili ya kusuport huduma ni vitu viwili tofauti. Ahadi za baraka zilizoahidiwa kwa atakayetoa kusuport huduma ndo zile zilizotajwa wakati wa maagizo ya zaka.
 
Yes uko sawa. Tatizo wahubiri wa Sasa wameifanya ni sheria yaani tumerudi kule kule na ndio maana inakuwa ngumu kwa watu kutoa ikishakuwa sheria then inakuwa shuruti mwisho inakuwa sio kwa moyo. Tangu miaka ya karibuni kuanzia nadhani 2005 baada ya Haya makanisa mapya kuingia ndo wakaja na hii upepo wa fungu la. 10 na pia kwa kujua ukweli na wasiiwambia watu kuwa kwa Mungu Sasa hakuna asilimia bali Kuna kutoa kwa MOYO ndo wameifanya shida kwa watu kutoa na pia wanasema kabisa ukishindwa kutoa Mungu anakullaani. Seriously?! Nilimsikia kabisa mtumishi ndani ya Kanisa langu akitamka maneno hayo.
Na shinda nyingine ambayo watu wameshindwa kueleweshwa kwenye ishu ya 10% na ndio maana ni ngumu kwa binadamu wa Sasa kutoa ni kuwa Mungu a aliagiza utoe fungu la 10 la "MAONGEO" Yaani kile kinachozidi kutoka kwenye shamba lako. Yaani kama ulipanga kuvuna magunia 50 ukapta 60 then 10% ya yale 10 yaliyozidi sio 50 uliyotegemea kupata. Alijua since zamani kwamba ni ngumu mtu kutoa kile chake ndio maana akawaambia watoe 10 ya MAONGEO maana Hiko kimezidi hukukitegemea. But now watumishi hawaelezi vzri wanamwambia tu muumini toa 10% ya upatacho hiyo ni ngumu na ndio maana ni 15% wanatoa hii kitu. Na hata ukiangalia mfano wa Abraham alitoa 10% ya vitu alivyo chukua Vitani (sio vyake maana alichukua vilivyozidi) so. Mtu wa mshahara anatakiwa atoe 10% ya bonus kama wanapewa ofisini kwao na sio 10% ya salary yake.
 
Hayo ndo maagizo ya MUNGU kuhusu fungu la 10. Sidhani kama yalishabadilishwaView attachment 2055371
IMG_20211223_220154.jpg
 
Back
Top Bottom