Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.
Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.
Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???