Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
- #201
Ukizingatia kuwa makanisa mengi yana mirad mikubwa ambayo inaingiza faida lukuki kias cha kanisa kuweza hudumiwa na hiyo faidaMali yote ni ya Mungu, akuombe tena fungu, apeleke wapi? Acheni hayo maujanja, ni ili mle kilaini tu bila jasho. Sadaka yako mpe masikini unaemjua na wala sio hao wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app