Fungu la Kumi: Ni lazima?

Fungu la Kumi: Ni lazima?

Nijuze kuhusu dini ya kweli mnama
Hili Suala ni pana kidgo mna untkiwa ukae chini usomeshwe kwa ushahidi tosha ila kma untka let us talk private tusije kuwakwaza wengine mna ni jambo gumu kidgo kuamini ila ndo ukweli
 
Hili Suala ni pana kidgo mna untkiwa ukae chini usomeshwe kwa ushahidi tosha ila kma untka let us talk private tusije kuwakwaza wengine mna ni jambo gumu kidgo kuamini ila ndo ukweli
Kwa faida ya wengi anzisha uzi kuhusu hilo jambo na jitahid kuweka madini kadri utakavyoweza hii itasaidia wadau kukuza upeo na naamin kuna wachangiaj nao watadadavua kwa namna ambayo na ww utafaidika kwa kupata fikra mpya
 
Kwa faida ya wengi anzisha uzi kuhusu hilo jambo na jitahid kuweka madini kadri utakavoweza hii itasaidia wadau kukuza upeo na naamin kuna wachangiaj nao watadadavua kwa namna ambayo na ww utafaidika kwa kupata fikra mpya
huishia kwenye dhihaka na Dharau mpk thread zinafutwa humu

Ila ukitaka kulijua ninalokwambia jaribu kutafuta watu walokua karibu na ww wakuelimishe
 
Fungu la kumi halina substitute.Hilo linatolewa kama lilivyo.The concept ni kutambua kuwa Mungu amekupa 15000 ili umpe 1500.Otherwise angekupa tu 13500.Kwa hiyo its not your money to decide its his money.

(Find a book called Financial Stewardship cha Andrew Wommack ameelezea vizuri sana humo)
Dah🤣🤣🤣kwahyo mkuu mungu amekupa 15,000 ili umpe 1,500? Kweli opium of the people.
 
Fungu la kumi halina substitute.Hilo linatolewa kama lilivyo.The concept ni kutambua kuwa Mungu amekupa 15000 ili umpe 1500.Otherwise angekupa tu 13500.Kwa hiyo its not your money to decide its his money.

(Find a book called Financial Stewardship cha Andrew Wommack ameelezea vizuri sana humo)
Huyo Mungu yuko wapi anayetaka 1,500.
 
Yes uko sawa. Tatizo wahubiri wa Sasa wameifanya ni sheria yaani tumerudi kule kule na ndio maana inakuwa ngumu kwa watu kutoa ikishakuwa sheria then inakuwa shuruti mwisho inakuwa sio kwa moyo. Tangu miaka ya karibuni kuanzia nadhani 2005 baada ya Haya makanisa mapya kuingia ndo wakaja na hii upepo wa fungu la. 10 na pia kwa kujua ukweli na wasiiwambia watu kuwa kwa Mungu Sasa hakuna asilimia bali Kuna kutoa kwa MOYO ndo wameifanya shida kwa watu kutoa na pia wanasema kabisa ukishindwa kutoa Mungu anakullaani. Seriously?! Nilimsikia kabisa mtumishi ndani ya Kanisa langu akitamka maneno hayo.
Na shinda nyingine ambayo watu wameshindwa kueleweshwa kwenye ishu ya 10% na ndio maana ni ngumu kwa binadamu wa Sasa kutoa ni kuwa Mungu a aliagiza utoe fungu la 10 la "MAONGEO" Yaani kile kinachozidi kutoka kwenye shamba lako. Yaani kama ulipanga kuvuna magunia 50 ukapta 60 then 10% ya yale 10 yaliyozidi sio 50 uliyotegemea kupata. Alijua since zamani kwamba ni ngumu mtu kutoa kile chake ndio maana akawaambia watoe 10 ya MAONGEO maana Hiko kimezidi hukukitegemea. But now watumishi hawaelezi vzri wanamwambia tu muumini toa 10% ya upatacho hiyo ni ngumu na ndio maana ni 15% wanatoa hii kitu. Na hata ukiangalia mfano wa Abraham alitoa 10% ya vitu alivyo chukua Vitani (sio vyake maana alichukua vilivyozidi) so. Mtu wa mshahara anatakiwa atoe 10% ya bonus kama wanapewa ofisini kwao na sio 10% ya salary yake.
Sikuizi unatoa bado wanakurudia nakusema umetoa kidogo lazima utoe zaidi.
 
Toeni mifano ya kweli
Wanawake ni waajabu sana kwenye imani, mpaka mama anafikia hapo kulikuwepo na udanganyifu mwingi, na ukute kwa vyovyote vile kuna namna alivyokuwa akimsaidia huyo mchungaji katka maisha yake ya kila siku.
 
I understand everything kuhusu why Zaka zinatolewa kwa Walawi hili sio ishu kwenye hii convesation.

Walawi waliteuliwa na Mungu kuwa ukoo wa kikuhani na kwa sababu jukumu lao litakuwa ni kati ya makabila yote hivyo wakapewa miji ndani ya kila kabila.Na sababu hii sasa hawakumiliki ardhi ya kilimo wala hawakushughulika na shughuli za uzalishaji,their sole role was to minister in the house of the Lord.

Na kwa kuwa hawakuhusika na uzalishaji Mungu akaagiza fungu la kumi kwa ajili ya huduma za hekaluni na watumishi wake (Walawi).

Aina ya kwanza ya zaka iliyotajwa inatolewa kwa ajili ya Ministry kwa Walawi.Hii haina mjadala.Hii ni kwa ajili ya Mungu.

Aina ya pili ilikuwa kwa ajili ya mtu mwenyewe,alitakiwa kila mwaka atenge 10%ya pato lake kwa ajili ya kutumia pamoja na washirika wenzao,ilikuwa ni kama donation kwa ajili ya tafrija.

Aina ya tatu ilikuwa ni kwa ajili ya watu wengine wahitaji.Hii ndio ilikuwa inatolewa kila baada ya miaka mitatu.

Kwa hesabu za haraka haraka huyu mwisrael mmoja alikuwa kila mwaka anatoa minimum of 20 % ya kipato chake kwa ajili ya Zaka.Na kila mwaka wa tatu alikuwa anatoa 30% ya kipato chake kwa ajili ya zaka.This is why nasema hata hiyo 10% inayotolewa leo ni minimum tu.

Suala la kutoa 10% kila mwezi au kila siku halifanyi kiwango cha utaoji kwa mwaka kizidi 10%.Sana sana kitakusaidia kujua exactly how much unatakiwa utoe kwa mwaka as tithe. Waisael walikuwa wanatoa kwa mwaka kwa sababu shughuli zao zilikuwa ni za msimu mfano kilimo na ufugaji. Hata sasa unaweza kukusanya kipato chako kila siku ukaenda kukitoa mwisho wa mwaka.
RC mbona wanafanyahivyo ref: mavuno
 
Bila shaka hapew mungu,anayepewa ni mtumish wa mungu kupitia kanisa
Ivi ni kwa nini suala la fungu la kumi limeongelewa na Malaki tu kwenye bible na sikumbuki kuliona kwenye agano jipya. Najiuliza kwanini tuishi kwa sheria wakati tunapaswa kuongozwa na Roho?
Kutoa kwa Roho hakukulazimishi kutoa 10 percent na si kanisani tu bali unaweza kuongozwa kutoa hata asilimia 100 na kwa yeyote mwenye uhitaji kama walivyofanya kwwnye kanisa la mitume - soma kwwnye matendo ya mitume. Kwanini tuishi kwa sheria wakati Bwana Yesu alitukomboa na vifungo vya sheria? Niwe mkweli nikosa amani linapokuja suala la kutoa fungu la kumi - kodi ya kanisa. Napata amani ninapompa nilichopewa na Mungu mtu mwenye uhitaji au ninapotoa kanisani kwenye machagizo lakini si fungu la kumi.
 
Hebu fikiria mshahara huo huo utoe PAYE 15%, bodi ya mikopo 15%, mikopo ya kuanzia maisha 10%, NSSF 10%, NHIF 3%, vyama vya wafanyakazi 3%. Weka zaka 10%. Unabakiza almost 30% hiyo ule, ulipe Kodi ya nyumba, usafiri! Kuweni na huruma.
Kwenye hii kitu ngoja nikuongezee kitu kidogo. Unajua hii 10% ya Nssf ilipo toka??
Hii it was copied by Greek kutoka Israel kwenye hiyo Ile 10% yao kwa kabila la LAWI. Wakaingiza kwneye system zao but this time ikusaidie wewe utakapostaafu. Ni kama ambavyo kwenye kumb la torati Mungu anavyo sema litumie jinsi utakavyopenda kwa roho yako hata kwa mvinyo. So ndio by time the rest of the world wakaigeza kutoka Roma to Tanzania Leo. So technically fungu la kumi tayari liko Nssf. We unadhani hiyo 10% ya Nssf iliibuka tu from a thin air. No way. So now hao wachungaji wapenda hela wanapokwambia utoe tena 10% jua unatoa mara mbili sababu 10 ya kwanza iko Nssf.
PILI kipindi hiko hapo Israel watu ambao walikuwa hawafanyi kazi zinazohusiana na ardhi hawakuwa wanatoa 10% ni wale tu ambao walimili ardhi. Hata baba yake Yesu hakutoa Mr. Carpenter hata Petro mvuvi hakutoa plus ukisoma matendo ya mitume yote Ile huwezi ona sehemu wamepotea 10% katika kazi yao because almost wale wote walitoka kabila la YUDA.
 
Mkuu baba ake Yesu ni nani?
 
Ivi ni kwa nini suala la fungu la kumi limeongelewa na Malaki tu kwenye bible na sikumbuki kuliona kwenye agano jipya. Najiuliza kwanini tuishi kwa sheria wakati tunapaswa kuongozwa na Roho?
Kutoa kwa Roho hakukulazimishi kutoa 10 percent na si kanisani tu bali unaweza kuongozwa kutoa hata asilimia 100 na kwa yeyote mwenye uhitaji kama walivyofanya kwwnye kanisa la mitume - soma kwwnye matendo ya mitume. Kwanini tuishi kwa sheria wakati Bwana Yesu alitukomboa na vifungo vya sheria? Niwe mkweli nikosa amani linapokuja suala la kutoa fungu la kumi - kodi ya kanisa. Napata amani ninapompa nilichopewa na Mungu mtu mwenye uhitaji au ninapotoa kanisani kwenye machagizo lakini si fungu la kumi.
Viongoz wa kanisa wanapigia chapuo lazima ipelekwe kanisan ili kunenepesha mfuko wa kanisa lkn sidhan km mungu atamaind km ukiitoa kwa familia zenye kipato duni km wale Bib zetu wanaofagia barabara.
 
Hebu watu wazinduke jamani.. Hakuna habari ya Fungu la Kumi kwa waliomuamini Yesu Kristo.

Fungi la kumi ni fundisho la Torati... na ile nukuu ya Malaki 3:10 ambalohuwa linatumika kutisha watu ni PURELY ELEKEZO/FUNDISHO LA TORATI

Kwa Kristo Yesu, ni kutoa kwa moyo na kwa kupenda kwa kile Mungu alichokubariki.
 
Mali yote ni ya Mungu, akuombe tena fungu, apeleke wapi? Acheni hayo maujanja, ni ili mle kilaini tu bila jasho. Sadaka yako mpe masikini unaemjua na wala sio hao wajanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom