Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
- #161
Jamaa wanatumia udhaif wetu kupenyeza matakwa yaoUnyonyaji tu.
Jamaa wanatumia udhaif wetu kupenyeza matakwa yaoUnyonyaji tu.
Upo sahihHuo upumbavu sifanyi
Michango inakuwa mingi. Mara sadaka, mara shukrani, mara ujenzi, mara usafiri n.k kama 10 ni ya kazi Mungu basi hiyo mingine itoke. Hii ni duplication!Kasome kumb la torati
Maamuzi ni yako,wewe unapangia bajeti na hela isiyo yako.Kipato chako asilimia 10% si yako ni ya Bwana.na hiyo 90% inayobaki inawekewa ulinzi isiingie kwenye mfuko mbovu.unaweza usielewe,wewe unazungumzia kwamba haitoshi kula,je 1500 inatosha matibabu? kulinda afya ya familia yako,kazi yako,mali zako na majanga mengine mengi.Hivyo vyote vinalindwa na hiyo 1500 unayoitoa kwa siku.Na ili iwe sadaka lazima ikuume unapotoa,ukitoa sadaka halafu hau-feel kama umetoa kitu,jiulize kama hiyo sadaka imemgusa Mungu.By the way sadaka inatakiwa utoe kwa moyo wa kupenda.wewe omba toba kwa kuwaza kumuibia Mungu halafu endelea kumtolea Mungu sadaka kwa ukamilifu.utakuja kushuhudia hapa.Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.
Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.
Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Kwenye hiyo elfu 15 fungu la kumi ni 1500 tu sijui unashindwa niniWadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.
Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.
Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Ila pia hivyo vyote siyo lazima.yaani unaweza kuendelea kusali hapo kanisani hata bila kutoa sadaka.sadaka ziko za aina nyingi.lakini pia huduma ya injili ni ghari.kuna gharama za uendeshaji za taasisi za dini.Michango inakuwa mingi. Mara sadaka, mara shukrani, mara ujenzi, mara usafiri n.k kama 10 ni ya kazi Mungu basi hiyo mingine itoke. Hii ni duplication!
Hiyo ni kama sadaka mkuu. Ilq fungu la kumi ni lazima sio hiyari katika ulimwengu wa kiroho.Na vp km najitolea kwenye huduma km fidia ya kias ambacho napaswa kutoa
YeahSasa wapi Paul alikwambia umpe fungu la 10 mchungaji???? Paul Alisema toa kwa moyo na si kwa sheria/shuruti. 10% ilikuwa chini ya sheria. Kama watoa kwa moyo then Moyo hauna asilimia basi una kile UNACHOWEZA KUTOA.
Jumlisha michango ya harusHebu fikiria mshahara huo huo utoe PAYE 15%, bodi ya mikopo 15%, mikopo ya kuanzia maisha 10%, NSSF 10%, NHIF 3%, vyama vya wafanyakazi 3%. Weka zaka 10%. Unabakiza almost 30% hiyo ule, ulipe Kodi ya nyumba, usafiri! Kuweni na huruma.
Tatizo si sadaka,utata ni hili fungu la kumi na kuhusu swala la kulichangia kanisa tunalisapot mno kupitia mirad yake na ndio maana mtoto anasoma shule ya kanisa tangu dei kea,kila kanisa linapotoa kitabu tunanunua,benki ya kanisa tuna akaunti na mengineyoIla pia hivyo vyote siyo lazima.yaani unaweza kuendelea kusali hapo kanisani hata bila kutoa sadaka.sadaka ziko za aina nyingi.lakini pia huduma ya injili ni ghari.kuna gharama za uendeshaji za taasisi za dini.
pia nakuthibitishia huwezi filisika kwa kutoa sadaka.wewe toa kwa moyo wa kupenda kulingana na kipato chako.Kama huna unapiga kimya.
Sasa wewe unataka nani agharamie ujenzi wa kanisa,wewe mwenyewe unasali hapo kuna wenzako walijitoa
Itapendeza ukipitia michango ya wadau hapo juu wameelezea mpaka sabab zilizopelekea walaw wapewe hilo funguHiyo ni kama sadaka mkuu. Ilq fungu la kumi ni lazima sio hiyari katika ulimwengu wa kiroho.
Ubarikiwe sana
Na ukiumwa hosp za kanisa gharama zao ni kubwa haijulish una risit za fungu la kumi au hunaWakristo ifike hatua mujiulize
Mm kwa siku ninapta 15k hlf nihudumie familia hlf bdo 10%
Mchungaji yy anahudumiwa na kanisa wakti mm nikiumwa najihudumia mwenyewe
Ivi hawa wachungaji wangekua na huruma si wangewasaidia nyinyi kma kweli wanawapenda
Sadaka hailazimishwi unatoa kwa kadri ya uwezo wako
Jitafakarini Mnaibiwaa
Fikiria kidogo hili hapaNa ukiumwa hosp za kanisa gharama zao ni kubwa haijulish una risit za fungu la kumi au huna
NimekupataFikiria kidogo hili hapa
Waislamu kwa siku wanaswali mara 5 ivi Imamu angekua anakusanya iyo 10% kila mda wa swala wangekua wapi saivi?
Kwenye Uislamu kuna kutoa zaka na Sadaka
Nini maana ya Zaka?
Zaka ni mali ambayo imefikia kiwango maalumu na hutolewa kwa wakati maalum.
Zaka ni maalumu kwa Matajiri na hao walofikisha hiko kiwango
Nini maana ya Sadaka?
Sadaka ni zawadi au mali ambayo hutolewa mda wowote ule mtu mwenyewe akipenda
lengo la kutoa Zaka na Sadaka ni kuwasaidia wasojiweza na kutakasa mali yako na nafsi yako
Ila jitahidi kutafuta dini ya kweliNimekupata
Nijuze kuhusu dini ya kweli mnamaIla jitahidi kutafuta dini ya kweli
Dini haiwezi kumkandamiza muumini wake kiasi icho