Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
- #21
Familia ya watu wanne tuHiyo bajeti ya kuacha elfu10 kwa siku nyumbani ni bajeti ya walau anayeingiza 1ml kwa mwezi. Mzee unajitesa sana au una familia kubwa?
Familia ya watu wanne tuHiyo bajeti ya kuacha elfu10 kwa siku nyumbani ni bajeti ya walau anayeingiza 1ml kwa mwezi. Mzee unajitesa sana au una familia kubwa?
Lait km ningekuwepo wakat huyo dogo ananunua sukar vijiko 2 ningeifatilia hiyo familia ili niijue na ningejiwekea utaratibu wa kuwapa elfu tano wastan wa sukar kilo2 kila mwez km sehemu ya fungu la kumi lkn kumpa mchungaj nafsi yangu haina aman kabisaaaaaaaKabisa mkuu ,hiyo elfu 10 anayoacha home kila siku sijaelewa anamuachia mke au kuna sehemu anakuwa anahifadhi kama akiba yake.
Kwa kipato chake hicho kama anaacha kila siku elfu 10kwa mke angetakiwa aeleze ukubwa wa familia yake
Hivi hii tabia ya kuacha hela ya matumizi mbona sinayo tuwe na kautaratibu wa kununua vitu vya msingi hata vya wiki mf unga wa mahindi,mchele,sukari,maharage,vitunguu,nyanya,carotid,mafuta
Ukiacha hela sanasana iwe ya kununua mkate wa chai asubuhi kama kiporo cha wali cha usiku hakijabaki.
Unless otherwise maisha yako yawe ya chini ya hiyo 15k aliyosema mshkaji manake hii nchi wananchi wake wengi ni maskini sana kwa sisi tuliokwisha ishi vijijini tunafahamu.
Ila hata mijini kuna watu wanaishi maisha mabovu sana just imagiine kuna sehemu nilikuwepo nikaenda dukani kununua maji ya kunywa akaja mtoto akanunua sukari vijiko2.
samahani nimetoka kidogo kwenye mada ya fungu la 10
Bila shaka hapew mungu,anayepewa ni mtumish wa mungu kupitia kanisa
Lait km ningekuwepo wakat huyo dogo ananunua sukar vijiko 2 ningeifatilia hiyo familia ili niijue na ningejiwekea utaratibu wa kuwapa elfu tano wastan wa sukar kilo2 kila mwez km sehemu ya fungu la kumi lkn kumpa mchungaj nafsi yangu haina aman kabisaaaaaaa
Km ww ni ke hainishangaz kwa sabab naamin kuna mtu anasimamia baadh ya mahitaj yako na ndio maana unajiona shujaa kwa kumudu hiyo bajet hata mwenzio ni mtoaji mzuri tu wa fungu la kumiKwa mawazo haya utaendelea kuwa maskini, wewe ni mchoyo Wala na mimi nilikuwaga ka wewe naona kidogo siku nilivoanza kutoa nimeona mafanikio
My point ni kwamba hiyo buku jero unayosevu haitamaliza matatizo yako lakini kama ukimtolea Mungu atakubariki utoke kwenye kipato cha 15 kwa uende kwenye kipato cha likubwa zaidi. Na pia ataondoa majanga kwenye familia hivyo hata hicho kidogo unachokipata kitatosha kumudu maisha yako.Km ww ni ke hainishangaz kwa sabab naamin kuna mtu anasimamia baadh ya mahitaj yako na ndio maana unajiona shujaa kwa kumudu hiyo bajet hata mwenzio ni mtoaji mzuri tu wa fungu la kumi
Hilo sasa sio fungu la kumi,huo ni msaada ambao Mungu anafurahi tukiwasaidia wengine na anatubariki lakini make no mistakes hilo sio fungu la kumi. Fungu la kumi halina substute.Lait km ningekuwepo wakat huyo dogo ananunua sukar vijiko 2 ningeifatilia hiyo familia ili niijue na ningejiwekea utaratibu wa kuwapa elfu tano wastan wa sukar kilo2 kila mwez km sehemu ya fungu la kumi lkn kumpa mchungaj nafsi yangu haina aman kabisaaaaaaa
Fungu la kumi linatolewa kwa ajili ya huduma ya kanisa tu.Lakini haikuzuii kutoa msaada kwa watu wengine.Kama unawiwa kuwasaidia wahitaji wasaidie kwa moyo wako wote na Mungu atakubariki lakini tambua hilo sio fungu la kumi hata kama umetoa sehemu ya kumi ya pato lako.Sio lazima iwe hivyo ,mantiki la fungu la kumi ni kuwapa wahitaji ambao ni maskini,wagonjwa na wasiojiweza.
Mungu ni tajiri sana hana shida na hela zako.
Taasisi za dini zimeharibu sana hii mantiki ya fungu la kumi
Nakwambia ukipiga hesabu ya fungu lako la kumi la kila mwezi halafu ukatafuta kituo cha watoto yatima kila mwezi unawapelekea mahitaji yao muhimu ya kiasi hicho naamini Mungu atakulipa maradufu kulipo kuchukua fedha hiyo kwenda kuwapa wachungaji wa aina ya mtume nabii bilionea shila
Shila balaa lake kubwaYaani kabisa mkuu ni kheri kuwapa wahitaji huku mitaani tunapoishi kulipo kuwapa hawa watu wanaojiita mitume mfano wa akina shila
Familia ya watu wanne tu
Do you Pray?Biblia imeandikwa na binadamu, mawazo yako ndio Biblia yako. Mf. Hakika nawaambia kwa kupitia kwangu (Yesu) utamuona Baba. Kwa kutumia akili yako ni kweli?
Yaani mkuu ni shida sana haya maisha ya sasaWanufaika wa fungu la kumi wameshuka kama mwewe kutetea kipato chao....bwana mdogo fanya maendeleo yako achana na fungu la kumi wala 100, unajitesa bure tu hela yenyewe ndogo...turudi home hapo, hiyo 10k kila siku mnakula nini? Nunua vitu kwa jumla uweke ndan, achana na hii rejareja, utakuwa unaacha pesa ya mboga tu
Mimi wife alikuja akanyambia et kanisani kwao kuna sadaka ya watoto wadogo....hehehehehe nilicheka sana,Yaani mkuu ni shida sana haya maisha ya sasa
Fungu la kumi limekuwa la lazima sana siku hizi hata usipoenda kanisani unaambiwa rusha kwa mobile money
Thats the beauty of God.He gave us a free choice.Choose whatever you want to live,worship whoever you want to worship but he will choose who to spend Eternity with him.He gave you that choice and he will have that choice.I started to follow the ideas of Karl Marx since 2000.

