Fungu la Kumi: Ni lazima?

Fungu la Kumi: Ni lazima?

Kwenye buku kumi na tano yako daily tenga Buku jero kwa ajili ya fungu la kumi.Kwa maana hiyo pesa halali iliyokwenye mamlaka yako kuitumia ni shilingi 13500.Matumizi yako jitahidi yatoshe humo.

Kila kitu unachopata kama ujira wako kwenye kazi zako ni cha kwake(Mungu) anachotaka utoe Asilimia kumi tu ya hicho umrudishie kingine utumie.Na kwa kumrudishia hicho kidogo anakubariki wewe na familia yako.Kipato kinaongezeka a majanga yanapita mbali na familia yako.
GOOD
 
Muuza viatu, Karl Marx alisema dini ni kwa akili ya masikini, baada ya kushindwa kiuchumi unaamua kuumba wazo la Mungu kwenye akili yako. Dini ni kasumba ya watu. Kwa Karl Marx kusali ni kupoteza mda
 
Kwa hiyo kwako wewe Maneno ya Karl Max yanaauthority kuliko maneno yaliyomo ndani ya Biblia?
 
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.

Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.

Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Mimi sikushauri kutoa fungu la kumi kwa kipato chako hicho kiduchu, tena yafaa wewe ndo upewe(upokee) hilo fungu la kumi ili kuboresha afya ya uchumi wako.
 
Biblia imeandikwa na binadamu, hivyo namuamini Karl Marx kuliko hao. Pambana kwanza na vitu unavyoviona, visivyoonekana , ukipata mda, jaribu kuuliza "does God exists?" Chapa kazi ila ujue maisha ni mchezo.
 
Well its your choice my friend.You heard the Gospel and you decided not to go this way.God won't force you to do anything but he would have liked if you to chose him over a man.

Just remember God loves us even if we reject him.His arms are always open.As long as you are alive you still have a chance.
 
If God loves us, why did He create evil? The mind of the devil is greater than the mind of human beings, He knows exactly for us to be trapped by devil is easy, it seems as if God hates human beings.
 
GOD didn't create evil he just allowed it,evil is just absence of good.Its like asking if cold exist,the answer is no its just absence of heat. Or you take a hole for example,it exist only because the dirt is taken out otherwise the hole cannot exist alone.

After saying that let me eleborate about this even more.God allowed evil to exist because He wanted to give Humans and Angels a choice.If he only allowed good to exist will there be really choice for us to choose from? And by that what difference will be between Human/Angels and Programmed machines?

The mind of the devil is not greater than that of human.The Devil is just an Angel gone bad. Yes i admit man is weak but due to his flesh and will always sin.Thats why God gave his Son as ransom for our sins.What more love do we want to be shown?
 
Muuza viatu, Karl Marx alisema dini ni kwa akili ya masikini, baada ya kushindwa kiuchumi unaamua kuumba wazo la Mungu kwenye akili yako. Dini ni kasumba ya watu. Kwa Karl Marx kusali ni kupoteza mda
Hiyo inamaanisha jamaa haamin uwepo wa mungu
 
Mimi sikushauri kutoa fungu la kumi kwa kipato chako hicho kiduchu, tena yafaa wewe ndo upewe(upokee) hilo fungu la kumi ili kuboresha afya ya uchumi wako.
Kwa ukwasi ambao RC wanao nadhan wanamudu kuwapa walau kundi fulan la watu wenye uhitaj kias cha pesa kila mwez
 
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.

Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.

Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Umewahi kujiuliza kwann unatakiwa kutoa fungu la kumi?

Je unatoa kama Adhabu au kwa furaha?
 
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.

Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.

Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???

Huna imani laiti ungukuwa nayo hata usingeleta mada hii hapa jukwaani
 
Huwa napata shida sana nikisikia mtu anajadiri kuwa kikumi ndo huleta baraka. Jamani Mungu ni mwema Sana daily regardless mapungufu yetu.

Mimi husisitiza mtu kutoa sadaka Kwa msukumo wa kumshukuru Mungu na sio ili niteke baraka zake.

Baraka kuu kuliko zote ni kuiona na kuimaliza siku ukiwa hai na unayo nafasi ya kutubu na kumshukuru Mungu.

Jesus ...tusaidie kukufahamu zaidi
 
*Baraka kuu kuliko zote ni kuimalza siku ukiwa hai na afya njema.
 
Back
Top Bottom