Fungu la Kumi: Ni lazima?

Fungu la Kumi: Ni lazima?

Nothing like "free will" ew are determined. Even to kill God is responsible because " He is omnipotent and benevolent.
I thought you said you follow Karl Max since 2000,wasn't that your Choice?wasn't that your will? Whose will is that?God's?
 
Wapumbavu nyie mtaangamia mpka lin kwa upumbavu wenu??

Huyo Mungu mnae mtolea Kila siku sadaka ni kwann hatosheki?

Mtanyonywa mpka Lin? Mnaambiwa kila siku kuwa hii dunia na kila kitu ni Mali yake, so how come umpe kilcho chake? huoni Kama Kuna mkanganyiko hapo?,

Muumba wa kweli hana haja na sadaka Wala haitaji kitu kinaitwa sadaka, Bali anakuhitaj wew na moyo wako Safi, hizo unazoita sadaka, zibadili jina na uziite msaada then nenda kawapelekee mayatima,wagonjwa, wafungwa, wajane na masikin uone Kama huu mwaka utaisha Bila maisha yako kuwa juu.

Wana dini mnapofeli ni hapo tu kwenye mapokeo ya dini zenu, kuzishika Bila kuhoji, hayo Mambo ya sadaka yalitungwa na mkolon aliyeleta dini, ikiwa ni sabbu ya kutaka kulkuza kanisa na uchumi wa Catholic, bahat mbaya mpka vijidhehebu vilivyomeguka kutoka ktk Catholic navyo vikaendeleza itikadi za mzee wao Catholic.

Dini na maandiko yamechezewa sana, huko mnakokuita makanisan na mnapeleka sadaka Muumba hawatambui, kwakuwa kanisa la kweli ni wew mtu na sio kusanyiko Wala sio hayo magenge yenu mnayotumia kusali jmos&jpili.

Shukran ya pekee,fungu la10,mavuno, zaka, hizo zote ni takataka tu hazina maana yoyote.

Usiponiamini utaendelea kuibiwa mpka mwisho wa maisha yako na baraka utaishia kuzisikia kwa wenzako mwishoe uwaite Freemason.

Ukwel mchungu
Do you believe in The Bible?Do you believe in God?Where did you first hear about God?
 
True God is the one who directed me, remember even Karl Marx believed in " the first cause" nothing like pure atheist. There must be the first cause but not the one of Christianity.
 
Do you believe in The Bible?Do you believe in God?Where did you first hear about God?
Mnasoma biblia kwa akili ama kwa hisia? Ukiwa na ufaham utajua kuwa ndan ya biblia Kuna miungu ambayo yote mmekuwa mkiipa sifa moja na kuiabudu Bila ninyi kujua, sasa sjui wasomi wa biblia mnamjua yupi ni kwel....tafuta sana elimu
 
It seems as if I'm contradicting myself, but try to meditate a bit "religions are man made business" believe what's in your heart.
 
True God is the one who directed me, remember even Karl Marx believed in " the first cause" nothing like pure atheist. There must be the first cause but not the one of Christianity.
As i said before you are free to choose whoever you want to choose.Israel saw God's power from exodus from Egypt to settlement in their Country but they still choose to believe and Worship other gods.It was their choose. God exercised his choice and allow distruction to come to them.

Thats the beauty of God.
 
It seems as if I'm contradicting myself, but try to meditate a bit "religions are man made business" believe what's in your heart.
So you beleive there is God and you dont believe about Christian version of God right?Which version of God do you believe?
 
Unaposema 15 haitoshi unamzungumziaje mtu ambaye kipato chake ni elfu tano kwa siku? Habari ya fungu la kumi si ya kanisa ni agizo straight and very plain kutoka kwa Mungu.Hapo awali kabla Yesu hajafa msalabani palikuwa na laana endapo mtu atakwepa kutoa fungu la kumi lakini baada ya Yesu kufa laana hiyo imeondolewa.

Kwa maana hiyo basi asiyetoa hana dhambi wala laana juu yake ila hana pia baraka zilizoahidiwa kwa mtoaji. Ukilinganisha kiwango cha baraka kwa atakayetoa na kiwango cha pesa unachotoa watu wenye hekima huwiwa kutoa zaidi ya asilimia kumi ya pato lao.

10% ya kipato chako haiwezi kumaliza matatizo yako lakini kiwango hicho hicho kidogo ukimtolea Mungu kama zaka basi atakubariki na kama ungekuwa ni mkulima ningesema ungekosa hata maghala ya kuhifadhi chakula chako chote kwa namna ambavyo kingekuwa kingi.
Mkuu bila shaka ni mchungaji maana umepiga misumari
 
Mnasoma biblia kwa akili ama kwa hisia? Ukiwa na ufaham utajua kuwa ndan ya biblia Kuna miungu ambayo yote mmekuwa mkiipa sifa moja na kuiabudu Bila ninyi kujua, sasa sjui wasomi wa biblia mnamjua yupi ni kwel....tafuta sana elimu
Let me tell you my friend iam a learned Individual if you talk about Formal learning.You dont have to worry about that. And iam familiar with The Bible.And from what i see from you posts i can conclude that you are far from knowing anything written in the Bible.Since we are not here to argue about who knows more i wont indulge you into that direction.
 
How can one choose the hell? One is determined, very interesting, may be God has already planned for those to Heaven and Hell. We as human beings nobody knows the truth, when the soul will come out from the body, is when the truth will be revealed.
 
Every choice has consequences you chose hell when you rejected God.Rejecting God was your choice.So you chose hell all by yourself.

We can chose what to do but we cant decide the consequences.You can decide to put your finger on fire,thats your choice but you can't decide not to get burned.So if you dont want to get burned then dont put your finger on fire.Simple.
 
Just believe in "Supreme Being" no gender. Work hard ,love each other. That's all.
 
Kabisa mkuu ,hiyo elfu 10 anayoacha home kila siku sijaelewa anamuachia mke au kuna sehemu anakuwa anahifadhi kama akiba yake.
Kwa kipato chake hicho kama anaacha kila siku elfu 10kwa mke angetakiwa aeleze ukubwa wa familia yake
Hivi hii tabia ya kuacha hela ya matumizi mbona sinayo tuwe na kautaratibu wa kununua vitu vya msingi hata vya wiki mf unga wa mahindi,mchele,sukari,maharage,vitunguu,nyanya,carotid,mafuta
Ukiacha hela sanasana iwe ya kununua mkate wa chai asubuhi kama kiporo cha wali cha usiku hakijabaki.
Unless otherwise maisha yako yawe ya chini ya hiyo 15k aliyosema mshkaji manake hii nchi wananchi wake wengi ni maskini sana kwa sisi tuliokwisha ishi vijijini tunafahamu.
Ila hata mijini kuna watu wanaishi maisha mabovu sana just imagiine kuna sehemu nilikuwepo nikaenda dukani kununua maji ya kunywa akaja mtoto akanunua sukari vijiko2.
samahani nimetoka kidogo kwenye mada ya fungu la 10
Kama ana familia kubwa je?
 
Let me tell you my friend iam a learned Individual if you talk about Formal learning.You dont have to worry about that. And iam familiar with The Bible.And from what i see from you posts i can conclude that you are far from knowing anything written in the Bible.Since we are not here to argue about who knows more i wont indulge you into that direction.
Andika kiswahil bwana hujanisomesha wew,
ukitaka tukichape kilugha Niko vizur zaid yako,
Nina elimu ya Dini zote zaid yako,

kwahiyo unapoambiwa Jambo geni masikioni mwako, usiwe mwepesi kupinga,

biblia ni kitabu chenye mikanganyiko mingi sana kwakuwa kilichakachuliwa kutoka ktk maandiko ya kweli ambayo yalizihusu jamii za Africa ya kale,

Baada ya ujio wa whitemen baran Africa walianza uhuni wao wa kutaka kuitawala Africa taratibu mpka walipofanikiwa kuiharibu akili ya muafrika kupitia dini zenye uongo na kuwafundisha Imani za mashetan ambayo mnayaabudu Bila ninyi kujua

naweza kukuonesha mfano mdogo tu wa makosa ktk ambayo majibu yake naimani hata mchungaji wako na askofu wako hawana majibu na hawawez kukujibu.
 
T
Just believe in "Supreme Being" no gender. Work hard ,love each other. That's all.
Thats what the devil is trying to make us think.He is trying to play down the importance of Jesus in our salvation.He wants us to believe that we are sufficient and we dont need Jesus.

And you know why he is doing this?Its because He knows if people accepts Jesus he is finished.
 
Andika kiswahil bwana hujanisomesha wew,
ukitaka tukichape kilugha Niko vizur zaid yako,
Nina elimu ya Dini zote zaid yako,

kwahiyo unapoambiwa Jambo geni masikioni mwako, usiwe mwepesi kupinga,

biblia ni kitabu chenye mikanganyiko mingi sana kwakuwa kilichakachuliwa kutoka ktk maandiko ya kweli ambayo yalizihusu jamii za Africa ya kale,

Baada ya ujio wa whitemen baran Africa walianza uhuni wao wa kutaka kuitawala Africa taratibu mpka walipofanikiwa kuiharibu akili ya muafrika kupitia dini zenye uongo na kuwafundisha Imani za mashetan ambayo mnayaabudu Bila ninyi kujua

naweza kukuonesha mfano mdogo tu wa makosa ktk ambayo majibu yake naimani hata mchungaji wako na askofu wako hawana majibu na hawawez kukujibu.
Mimi sina elimu ya dini zote ila hizi zinazozungumzia zaka nazifahamu.Na pia nina hakika kuhusu elimu ya dunia hujanizidi.

Na Biblia haina mikanganyiko.

Kila kitu lazima kianzie somewhere,Yes wazungu ndo wameintroduce hizi dini so what?kwa hiyo si za kweli kwa sababu zimeletwa na mzungu or what?what if angezileta mtu kutoka namibia?that way zingekuwa sahihi?

Suala la kuletwa na wazungu ni suala la Logistics tu.Kuna maeneo leo hii yamefikishiwa Injili na mtu mweusi na wao wapinge kwa sbabu wameletewa na mtu mweusi?

Hizi dini hadi kwa hao wazungu zipo na ni majority kwa hiyo na wao wamezipokeaje?au wanadanganyana?
 
Let me ask you simple question "all who don't believe in Jesus , will be sent to hell at the end"? Did God create so as to destroy?
 
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.

Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.

Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Kutoa ni Iman
 
Back
Top Bottom