Funga zipu! Hata Mkeo ni mzuri, sema tu umemzoea

Funga zipu! Hata Mkeo ni mzuri, sema tu umemzoea

Ngoja nifanye tafiti kuhusu unalosema
kwa nature ya mwili (hormones) kuna watu wanataka sex karibia kila siku, hasa vijana wakiume japo wapo na wanawake ila sio wengi kama wanaume; na kuna wanawake kwa nature ya miili yao (hormone) wanataka tu pale yai linaposhuka tofauti na hapo ni kutimiza tu wajibu na umri ukisogea kidogo na huo wajibu hawatimizi hadi kulumbana.... na hizi dawa za mpango ndio zimeongeza zaidi hilo kundi...
Inaoneka Waislam waliliona hilo mapema....
 
kwa nature ya mwili (hormones) kuna watu wanataka sex kila siku + hasa wanaume japo wapo na wanawake pia ila sio wengi; na kuna wanawake kwa nature ya miili yao (hormone) wanataka tu pale yai linaposhuka (3days) ndani ya mwezi....tofauti na hapo ni kutimiza tu wajibu na umri ukisogea kidogo na huo wajibu hawatimizi hadi kulazimishwa... na hizi dawa za mpango ndio zimeongeza zaidi hilo kundi...
Inaoneka Waislam waliliona hilo mapema kwa kuwa mtume wao alikuwa na mke....
Vp na ww ni wakila siku ? Unachapa sijui unachapwa daily ? Sorry sijui jinsia yako ndo maana nime mix lugha 😊
 
Vp na ww ni wakila siku ? Unachapa sijui unachapwa daily ? Sorry sijui jinsia yako ndo maana nime mix lugha 😊
Nakumbuka mwaka jana Wabunge wanawake wa kenya, walikuwa wanadai bungeni wanaume waruhusiwe kuoa wake wengi kwani tunajidanganya; na kupelekea tatizo la watoto wa mitaani na single mother kuongezeka
Walitolea mfano wa Mombasa -jiji la pili kwa ukubwa kenya ambapo Waislam ndio wengi; kuwa singo mother na watoto wa mitaani ni wachache sana; wakati Nairobi na miji mingine imejaa watoto wa mitaani na single mothers...
 
Hilo ni tatizo , halafu kuoa wengi sio dhambi , dhambi ni kukimbia majukumu
 
Hayo maneno unayoyasema ni vile tu hujamwana live Seran acha kabisa Mungu kaumba watu haaa!
 
Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale

We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo
Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
Kabisa ni Psychology tu.
 
Nahisi kinachofanya wanaume wawe wanachepuka ni kuzidiwa ( kuwa na nguvu nyingi kupita kiasi ) na nguvu nyingi za kiume ambazo mwanamke mmoja hawezi kuzimudu na kumtolesheleza. Nguvu za kiume ambazo wanaume wanazo , mwanamke mmoja hana uwezo wa kuzimudu
Uongo uliotukuka wanaume wengi walio malaya inasemekana hawana hata nguvu za kutosha ni goi goi ila hawariziki mpka wajidhalilishe

Hii ni kwa mjibu wa wanawake wenyewe

Usiniambie nithibitishe maana sina uthibitisho
 
Mie ninavyojua ni ivyoo 😅😅
 
Nahisi kinachofanya wanaume wawe wanachepuka ni kuzidiwa ( kuwa na nguvu nyingi kupita kiasi ) na nguvu nyingi za kiume ambazo mwanamke mmoja hawezi kuzimudu na kumtolesheleza. Nguvu za kiume ambazo wanaume wanazo , mwanamke mmoja hana uwezo wa kuzimudu
Mkuu umeifunga mada.

Hilo neno 'nahisi' liondoe, ubakie ukweli huo wa kibaiolojia.

Mwanamke mmoja hatoshi kwa mwanaume, hayo ni maumbile.

Kuchepuka hakumaanishi kumchukia ama kumchoka mkeo, hapana ni nature.
 
Back
Top Bottom