Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

Mgombea mwe
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Mgombea mwenza na mkatoliki Naye kafunga Novena?
 
Na bado. Mpaka mlie hadharani! Hakuna cha Novena wala nini? Nani alikwambia Novena iliwahi kusaidia chochote wapi nchi gani? Pelekeni Novena Congo DR kama kweli inaleta amani. Nchi Ina amani eti Novena! PUMBAVU!!
Congo kuna amani mbona.

Umewahi kusikia risasi Kinshasa??
 
A
Mimi nina reality ambayo kwa akili zako HUWEZI kuielewa. Imeandikwa kwenye Biblia (ila sijui kitabu gani wala mstari gani), aliyeshiba haitaji chakula, bali mwenye njaa! Congo DR wanaihitaji Novena sana kuliko Tanzania. Kwanini hawaipeleki huko na kuwaacha watu wanauana kama wanyama mwitu? Au huko Novena imegoma? Ahahahahaha!!
Angle ya DRC unaweza pia kwa imani yako mkaungana ili kuiombea DRC! Unaliaje et Catholic haiiombei DRC while naww unaweza ungana na wengine kufanya ivo? Usiwapangie wengine kipi cha kuombea!! Na hili la novena litawatoa wadhalimu weng sana mapangoni!!!
 
Wewe jamaa ni sawa umepita eneo lina msiba, maneno yafuatayo yakakutoka "kulia kulia kitu gani, ingekuwa kulia kunafufua watu kalilieni kule makaburuni wafufuke pumbavu zenu" kisha baadhi ya watu wakashangaa na baadhi wakacheka, vipi utajionaje mjanja sana ama?
Na bado. Mpaka mlie hadharani! Hakuna cha Novena wala nini? Nani alikwambia Novena iliwahi kusaidia chochote wapi nchi gani? Pelekeni Novena Congo DR kama kweli inaleta amani. Nchi Ina amani eti Novena! PUMBAVU!!

Na bado. Mpaka mlie hadharani! Hakuna cha Novena wala nini? Nani alikwambia Novena iliwahi kusaidia chochote wapi nchi gani? Pelekeni Novena Congo DR kama kweli inaleta amani. Nchi Ina amani eti Novena! PUMBAVU!!
Wewe jamaa ni sawa umepita eneo lina msiba, maneno yafuatayo yakakutoka "kulia kulia kitu gani, ingekuwa kulia kunafufua watu kalilieni kule makaburuni wafufuke pumbavu zenu" kisha baadhi ya watu wakashangaa na baadhi wakacheka, vipi utajionaje mjanja sana ama?
 
Wewe jamaa ni sawa umepita eneo lina msiba, maneno yafuatayo yakakutoka "kulia kulia kitu gani, ingekuwa kulia kunafufua watu kalilieni kule makaburuni wafufuke pumbavu zenu" kisha baadhi ya watu wakashangaa na baadhi wakacheka, vipi utajionaje mjanja sana ama?

Wewe jamaa ni sawa umepita eneo lina msiba, maneno yafuatayo yakakutoka "kulia kulia kitu gani, ingekuwa kulia kunafufua watu kalilieni kule makaburuni wafufuke pumbavu zenu" kisha baadhi ya watu wakashangaa na baadhi wakacheka, vipi utajionaje mjanja sana ama?
Kwani watu wanapolia msibani lengo ni maiti ifufuke? Sikujua hilo!!!
 
Na bado. Mpaka mlie hadharani! Hakuna cha Novena wala nini? Nani alikwambia Novena iliwahi kusaidia chochote wapi nchi gani? Pelekeni Novena Congo DR kama kweli inaleta amani. Nchi Ina amani eti Novena! PUMBAVU!!
🤣🤣😁
 
Kumbe Congo ni Kinshasa tu? Sikujua hilo! Ahsante kwa taarifa!!
Congo ni nchi kubwa mara mbilinya TZ.

Congonhaijawahi kupata kiongozi kama Nyerere asiye mbinafsi ambaye nyie mnaona hafai.

Alikuwepo Mobutu anajali mambo yake tu, na kuwafurahisha Wafaransa na Ubelgiji. Hata Lumumba walimuua kwa amri ya Ubelgiji.

Hao watawala.wa Kinshasa hata huko Goma kwenye vita wanaenda. Juzi tu, Kabila Raos mstaafu ameenda Goma
 
nyinyi wenye dini hiyo sisi wengine (islamu, hindu, bahai....) haina impact kwetu
Haina impact kivipi?
Hata sisi Kobaz tayari tunakandamiza Albadiri huku. Mwisho wa wahuni na uhuni wao hatimaye umewadia
 
Back
Top Bottom