Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

Mimi ni Mkatoliki zaidi yako wewe unayefuata mkumbo kama nyumbu! Na maana ya Novena naweza nikawa ninaijua kuliko hata hao walijifanya wanaisali mahakamani!K
Kwani Mungu ana mipaka? Mkatoliki nyumbu sana wewe. Wakati waislam wanasali pale Kisutu unafikiri walikuwa wajinga?
 
Hii Novena isipotiki na Rais Samia akachaguliwa kuwa Rais basi Kanisa Katoliki tutakuwa tumejidhalilisha sana. Maaskofu wetu wanapochagua upande wa kushanibikia wakijifanya wanatuwakilisha sisi waumini siyo kitu sahihi.

Narudia kusema Fr Kitima ambaye ni Katibu wa TEC ameifanyia "state capture" Kamisa Katoliki Tanzania. Yaani Padre ana nguvu kuliko maaskofu wake?? Hii haikubaliki

Kuchagua upande wa haki ni wajibu kwa maana ni Mola huyo huyo awezaye kuifanya mioyo ya madhwalimu kuwa migumu.

Kwani ilikuwaje na Farao na mapigo kumi?

Kwani Daniel alipotupwa kwenye tundu la Simba hakuwa tayari hata kama Mungu wake asingemsaidia?

Novena ni yetu sote waliomo na wasiokuwamo Hadi kina Malaria 2 huko kabla ya kutupwa nje ya historia kama masaliti kindaki ndaki!
 
Tatizo novena imechaguwa upande wa shilingi inaoutaka
 
Huu ni uchawi na ushirikina wa wazi wa wazungu ( Italiano)
 
Kuchagua upande wa haki ni wajibu kwa maana ni Mola huyo huyo awezaye kuifanya mioyo ya madhwalimu kuwa migumu.

Kwani ilikuwaje na Farao na mapigo kumi?

Kwani Daniel alipotupwa kwenye tundu la Simba hakuwa tayari hata kama Mungu wake asingemsaidia?

Novena ni yetu sote waliomo na wasiokuwamo Hadi kina Malaria 2 huko kabla ya kutupwa nje ya historia kama masaliti kindaki ndaki!
Uislam ndio dini ya binaadam wa mwanzo
 
Tatizo novena imechaguwa upande wa shilingi inaoutaka

Novena imejitenga na utekaji, uuwaji, ubambika kesi, janja janja, ghiliba na vya namna hiyo. Wewe uko ule upande wenu heri mkono uende kinywani?
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Kufuata kesi ya uhaini Kwa kutaka "kukinukisha" uwezekano wa Kanisa kufungiwa na kusema wanaiombea nji, Haki, Amani na Usawa, kutuhumiwa kwa uchochezi, na kuwa gombanisha wananchi na sirikali yao
 
Back
Top Bottom