Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

Puuzeni mambo yote lakini kanisa likiamua serikali inakaa chini.

Wakiamua kuishambulia serikali, lazima iwasambaratishe.

Kumbuka Jeshi, Dola na serikali ni waumini wa makanisa hayo.

Serikali halina jeshi la kupambana na raia wote Tanzania.
 
Hiyo Novena ni jambo la kiimani kama zilivyo imani zingine za kidini. Nchi haiwezi yumbishwa na Novena ya katoliki. Kanisa katoliki lijitokeze hadharani kuomba msamaha kwa kujihusisha na vita ya Biafra na Rwanda genocide.
 
Puuzeni mambo yote lakini kanisa likiamua serikali inakaa chini.

Wakiamua kuishambulia serikali, lazima iwasambaratishe.

Kumbuka Jeshi, Dola na serikali ni waumini wa makanisa hayo.

Serikali halina jeshi la kupambana na raia wote Tanzania.
Keyboard warrior detected
 
Lisu ana safari ndefu sana kama jeshi lenyewe analotegemea kukinukisha ni hili la NOVENA
 
Novena hufana kazi 100% uliza vijana wa seminali utaambhiwa
 
Hujui novena bora ukae kimya. Novenani kujiweka mikononi mwa Mungu ukiomba unachotaka kutoka KWAKE, siyo kutoka kwa CHADEMA. Kwa kuelewa wangu 70% ya Maaskofu ni Yanga au TANU, walisoma Bure enzi hizo wakaenda Kipalapala na Ntungamo kama Wazalendo wakubwa. Kama wangetakanovena ya CHADEMA wangesema hivyo.
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Aonywaye mara nyingi, akishupaza shingo itavunjika ghafla na wala hapati dawa. Mithali 29 :1
 
Tuambie kiongozi wa dhehebu gani la kikristo anampinga samia 😃😃
Nyie watu wa gwajima mna tabu mna tabu xnaaa
 
Hujui novena bora ukae kimya. Novenani kujiweka mikononi mwa Mungu ukiomba unachotaka kutoka KWAKE, siyo kutoka kwa CHADEMA. Kwa kuelewa wangu 70% ya Maaskofu ni Yanga au TANU, walisoma Bure enzi hizo wakaenda Kipalapala na Ntungamo kama Wazalendo wakubwa. Kama wangetakanovena ya CHADEMA wangesema hivyo.
Chiz huyo anataka kuchafua hali ya hewa safar hii kila kiki yao inazimwa 😆
Tena bila shuruti
 
nyinyi wenye dini hiyo sisi wengine (islamu, hindu, bahai....) haina impact kwetu
Hivi nyie ndugu wa hizo dini mbona kimya kabisa!?
Kama hamtaki kuomba, toeni hata tamko basi ili kutetea waumini wenu.
Kumbukeni msoto tunaula wote bila kujali dini ya mtu.

Kama kuandamana tumeshindwa, hata maombi!?
 
Haina impact kivipi?
Hata sisi Kobaz tayari tunakandamiza Albadiri huku. Mwisho wa wahuni na uhuni wao hatimaye umewadia
hakuna kitu kinaitwa albadiri, na kama ulikusudia halbadiri umemdhamiria nani au unadhania inasomwa na kurushwa kama mchanga au vumbi?
 
Hivi nyie ndugu wa hizo dini mbona kimya kabisa!?
Kama hamtaki kuomba, toeni hata tamko basi ili kutetea waumini wenu.
Kumbukeni msoto tunaula wote bila kujali dini ya mtu.

Kama kuandamana tumeshindwa, hata maombi!?
tuko kimya kwa vile tunalijua lengo lenu ni nini. Mbona wakati wa JPM hamkufanya hizo novena zenu?
 
Kama unafuatilia vizuri matukio na habari enzi za JPM, TEC walitoa matamko mengi sana wakati mambo yalipokuwa hayaendi sawa.
Mfano waliandika nyaraka za kulaani mauaji ya Kibiti Lindi, Lissu kupigwa risasi, utekaji n.k

Amkeni ndugu zetu tupige kelele kwa pamoja linapotokea jambo la kutishia amani na haki zetu kama wananchi bila kujali dini, kabila wala itikadi zetu za vyama.
 
Na bado. Mpaka mlie hadharani! Hakuna cha Novena wala nini? Nani alikwambia Novena iliwahi kusaidia chochote wapi nchi gani? Pelekeni Novena Congo DR kama kweli inaleta amani. Nchi Ina amani eti Novena! PUMBAVU!!
Kijana, unhitajika kujifunza zaidi kuhusu Mungu na anavyofanya kazi dhidi ya dhuluma
 
Hii Novena sidhani kama itamwacha mtu salama.
udhalimu, udhalilishaji, mauaji, utekaji, ufisadi, kiburi na udhalilishaji vitakuwa mwisho.
 
Ila binti kiziwi ni mroho sana wa madaraka. Looh!

Lucas Mwashambwa, Huihui2, gallow bird, zandrano, Tlaatlaah:

Au nasema uongo?
Hii Novena isipotiki na Rais Samia akachaguliwa kuwa Rais basi Kanisa Katoliki tutakuwa tumejidhalilisha sana. Maaskofu wetu wanapochagua upande wa kushanibikia wakijifanya wanatuwakilisha sisi waumini siyo kitu sahihi.

Narudia kusema Fr Kitima ambaye ni Katibu wa TEC ameifanyia "state capture" Kamisa Katoliki Tanzania. Yaani Padre ana nguvu kuliko maaskofu wake?? Hii haikubaliki
 
Back
Top Bottom