Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Chuki inawapeleka vibaya
 
Wakatoliki wanafunga wakijua kitachotokea ambacho wamesha kipika!

Wangekua wanataka haki wangeshabadili Katina zamani Ili haki iwepo kabla ya kitima hajakoswa kuuawa na kabla ya bandari haijachukuliwa!

Wao wameona waje na hiki kioja wakati hiyo haki ingekua kisheria na kikatiba Leo anaewanyima haki asingekalia kiti Kwa vigezo vya kikatiba!!!

Kwa usomi wao na utajiri wa wasomi plus wataalam katiba ingesha patikana zamani na ingedhibiti Raise asimwage Damu ya kitima na wengineo!!

Unafiki wa Bandari hautawaacha salama!

Mungu ibariki Tanzania!

KAZI na utu tunasongambele!
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
novena za kishirikina, ramli na mihemko ni useless and completely nonsense machoni pa Mungu gentleman 🐒
 
Mimi ni mkatoliki ila sipendi mambo ya Udini kabisa tukiingia kwenye Udini tumekwisha Serikali Inatakiwa ichukue hatua za haraka sana ikae na wadau wa dini wamalize haya Mambo mapema sana husipoziba Ufa utajenga ukuta
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!

Hapa ndio maana majaji na mahakimu wa kesi hizi kwa namna yoyote hawata kuwa Wakatoliki 🙂
 
Pia kuna kitu kinaitwa watu wa matabaka mbali mbali kuchangamana. Lakini siku hizi , uhindini kuna Rudi, Kwa wachina, Kwa weupe, waarabu na kuna wasindikizaji NK na Kwa wasindikizaji napo kuna tofauti zetu zinazo jengea na viongosi
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Keybord worrior mmeshindwa kuandamana sasa mnawaza Novena? Hii ya kufunga ikiwahi work wapi?
 
Uharo mtupu huu,Mimi mkatoliki na jana nimesali novena hii,muhimu hii IPO kuombea amani katika nchi uchaguzi ufanyike kwa amani

Lkn naona uandishi wako umeandikwa kishabiki kama unanyonywa Yas,kifupi kati ya CDM na CCM chama gani kina wakati mgumu hadi sasa,Mkt yupo anatambaa kwenye mitaro ya mavi huko magereza,Chama hakishiriki uchaguzi hadi sasa,wahisani waliowategemea hawana jipya juu ya kuwasupport kuvunja amani ya nchi

Ieleweke wakatoliki wamebeba Kila aina ya matabaka na umepotosha uandishi wako kuwa waraka wao unalenga kuwashurutisha CCM na serikali la hasha bali kuwafanya watu wavuruga amani ya nchi Mungu awapige kipigo kama cha Firauni(T.A.L)
 
Mimi nina reality ambayo kwa akili zako HUWEZI kuielewa. Imeandikwa kwenye Biblia (ila sijui kitabu gani wala mstari gani), aliyeshiba haitaji chakula, bali mwenye njaa! Congo DR wanaihitaji Novena sana kuliko Tanzania. Kwanini hawaipeleki huko na kuwaacha watu wanauana kama wanyama mwitu? Au huko Novena imegoma? Ahahahahaha!!
Sala ya Novena wameagizwa wakatoloki tu. Wewe usiyejua maana yake si ungenyamaza kimya tu. Nyie hao wanaolinda mbuga za Wanyama Kwa nini wameruhusu mtoroke kuja kusumbua huku!!
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Mungu atende lolote litakalowezekana kuondoa madhalimu...
 
We ni mwendawazimu hilo halina ubishi. Upuuzi wote huu huoni ht haya?
 
Sala ya Novena wameagizwa wakatoloki tu. Wewe usiyejua maana yake si ungenyamaza kimya tu. Nyie hao wanaolinda mbuga za Wanyama Kwa nini wameruhusu mtoroke kuja kusumbua huku!!
Mimi ni Mkatoliki zaidi yako wewe unayefuata mkumbo kama nyumbu! Na maana ya Novena naweza nikawa ninaijua kuliko hata hao walijifanya wanaisali mahakamani!
 
Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho.
Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena.
Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia.

Huu ni ujumbe mzito kwa samia na wateule wake kuwa kuna watu sasa wameamua kutumia SPIRITUAL STRUGGLE kudai haki nchini. Baada ya serikali ya CCM kujawa kiburi kwa kuwa ina majeshi, mahakama inazitumia itakavyo na bunge liko mkononi mwake, watu sasa wameamua kuifanya Struggle ya kudai haki iwe ya KIROHO.

Na kama mnavyojua Wakiristu hasa Wakatoliki ndani ya mfumo ma serikali wako wengi, nao nila shaka wapo mfungoni kuombea HAKI na AMANI. Hawa wanawekwa kwatika wakati mgumu sana kwa sababu NOVENA ni ibada wanayoiheshimu sana. Je watatiii kwa moyo mmoja kufanya figisu kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wawatakao ili tu kumnufaisha Samia na baadhi ya watu?.

Bila shaka mioyo ya wakatoliki wengi ndani ya CCM na mfumo watakuwa hawana amani mioyoni mwao, watakuwa hawans raha kujikuta wanafunga NOVENA ya kudai haki wakati mazingira yanawalazimisha kufanya dhulma dhidi ya wananchi.

Ni kweli CCM inaweza kupuuza NOVENA na sauti zozote za haki, maana wana majeshi ya kuwasimika katika nafasi zozote wazitakazo. Lakini Je mioyo ya watu wanaowategemea walinde dhulma zao iko thabiti kiasi gani kuwezesha hilo wakati watu hao wanajihisi guilty consciousness kutokana na funga hii ya NOVENA.

Ndiyo maana tunasema, dhulma za viongozi wachache wa nchi hii zinavunja fabric na harmonoy ya nchi hii socially, politically na hata spiritually.

Ni wakati muafaka sasa watu wenye hekima wakamwambia Samia kuwa tunapoenda tunakwenda kuvuruga taifa. Hivyo basi hana budi kufanya yafuatayo.

1. Fanya reforms, ili tuingie ktk uchaguzi huru na wa haki

2. Futa kesi ya uongo dhidi ya Lissu, maana hii kesi inalazimisha majaji na mahakimu wasitende haki. Kumbuka hawa watu wanamwamini Mungu. Msiwape mzigo mzito wa dhambi hawa watu ili tu kufanikishs malengo yenu ovu yasiyo ya haki.

3. Anza mchakato wa kuliponya Taifa baada ya damu zisizo na hatia zilizomwagwa kutokana na vitendo vya utekaji. Damu zisizo na hatia zinalia, zinataka haki!
Mbn hamkufunga Novena kipindi cha kutafuta uhuru...kipindi hicho mlikua vibaraka wa mkoloni..mpk Nyerere akaenda kufanyiwa dua na mashekhe Bagamoyo.. hii NOVENA mmeletewa na wataliano kipindi hicho haikuwepo?..hebu fanyieni practice waraka wa Papa Francis tuone matokeo yake?
 
Back
Top Bottom