Fundraising Ya Watoto Wa Yatima Dodoma!!

Mnatakiwa muwe wabunifu kidogo kutafuta namna nzuri ya publicity mnavyoamua kuingia kwenye siasa. Shida ni kwamba hizo pesa zikipatikana tu, Mwigulu ataenda 'kukamulia' wake za watu, kwa hiyo siji kuichangia magamba aisee!
 
​du dr wako anakazi maana ukimtibu mgonjwa unafurahia akipata nafuu sasa wewe ugonjwa unazidi maana kilaunalofanya huoni kuwa una matatizo ya kichwa?kwa hapa siku ukijijua milembe wataachiwa wote maana kazi ipo ndio maana mzee malecela hakuwahi kukutambulisha kwa jamii ur very kituko

Dogo alimkosea heshima dingi, mwaka ule alioendaga uingereza akafanya the 'partizzzzz' na totooooz za kibongo zilizokuwa zikisoma kule! The 'bingwaaaaaaz' ilipokolea the pichaaaaazz zikapigwaaaaz na wazunguuuuuz then ikawaga the skendozzzzz kwa dingi.
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
 
First hongera for fundraising

but sio kama naponda lakini..

TZ now karibu kila mtoto ni kama yatima
na huko DODOMA ndo kabisa hadi wazazi wao ni 'yatima' pia
hadi wanaomba omba mijini
sasa fund raising itwafikia wangapi na kuwaacha wangapi?
 
  • Thanks
Reactions: ral
kwa mara ya kwanza zomba kaongea point.
kula like zomba ila ukiongea ***** unakula za kichwa vilevile.

hawa jamaaa hawana lolote wanatafuta umaarufu,huyo kinje alivcyokuwa anakomaa na ubt utafikiri ni urithi wa babu yake leo anatuambia anna uchungu na yatima ni kwa nini wasiwapeleke majumbani kwao,au wanataka umaarufu na chenchi wabaki nayo.
 
Njia nyingine hii magamba wamegundua ya kuwaibia wananchi.Wadodomya msitoe chochote waambieni hao magamba watoe kwanza hizo walizowafisadi
 
- Wandugu wapenzi tupo huku Osterbay: at Kenyatta Road, karibu na Chole Road, tunafanya Fundraising ya kuwasaidia watoto wa Yatima Dodoma, kwa kushirikiana na Kinjekitile Mwiru. Nawaomba sana wale wote wenye huruma na kuelewa kama sisi kwamba hawa watoto hawakuomba kutokuwa na wazazi kama tulionao sisi, mjiotkeze hapa tupo mpaka usiku wa saa mbili.

- Kinachotakiwa ni kiingilio tu Shillingi 10,000 ambapo pia utaweza kuosehwa gari lako kwa hicho kiingilio, karibuni sana people tuweke itikadi na tofauti zetu pembeni na tuwe One Peopel, One Nation Tanzania na One Great JFers and help this kids!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA HASA WATOTO WAKE!!

William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA DAR & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA.

Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
Kujitafutia umaarufu kupitia watanzania maskini ambao umesababishwa na wazaz wao kupitia chama chao wachumia 2mbo tu hawana lolote M4c daima
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.

Fundrise imebamba mbaya
 
Ni watoto yatima siyo "watoto wa yatima" unless unamaanisha ni watoto waliozaliwa na wazazi ambao ni yatima.Which doesn't make no sense!
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
Zombi naona umefunguka na magamba wenzako kwi!kwi! Kwi! Kwi!
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
Hakika mganga wa jadi aliyekutibu nikimfahamu lazima ni mzawadie ng'ombe mmoja!
 
Wazo zuri sana William...achana na hawa wanaokukatisha tamaa kwa wivu wa kijinga....
 
yaani badala ya kumsifia malecela kwa kitendo chaketopic imegekuwa kumzungumzia attention seeker-zomba? mnh watanzania kweli tunahitaji mabadiliko hadi tunavtofikiri...mungu tuokoe....
 
Back
Top Bottom