Fundraising Ya Watoto Wa Yatima Dodoma!!

Wazo zuri sana William...achana na hawa wanaokukatisha tamaa kwa wivu wa kijinga....
 
Kwa nini hai make sense? Watu ambao ni yatima hawazai?

Haimake sense kwangu kutokana na combination ya hiyo statement/ujumbe na heading,kama inamake sense kwako ni sawa tu.Hao yatima walizaa wakiwa na umri gani ili tuweze kujua kama watoto wao wanahitaji msaada?
 
Hao yatima walizaa wakiwa na umri gani ili tuweze kujua kama watoto wao wanahitaji msaada?
Kwa hiyo kumbe kuna umri ambao yatima akizaa basi topic hii ya kuwasaidia watoto wa yatima ina make sense! Basi usingekuwa judgmental kabla ya kuuliza huo umri unaouulizia sasa.
 
Kwa hiyo kumbe kuna umri ambao yatima akizaa basi topic hii ya kuwasaidia watoto wa yatima ina make sense! Basi usingekuwa judgmental kabla ya kuuliza huo umri unaouulizia sasa.

Sikuelewi.Sorry.
 
Kwa hiyo kumbe kuna umri ambao yatima akizaa basi topic hii ya kuwasaidia watoto wa yatima ina make sense! Basi usingekuwa judgmental kabla ya kuuliza huo umri unaouulizia sasa.
acha zako mkuu jitu zima linalojitegemea linazaa watoto halafu tuliite yatima wapi na wapi
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.

Kwa maana hiyo unataka Mnikulu asiwe na kazi ya kutoa zawadi pale Ikulu kwa yatima wakati wa sikukuu!
 
Is it true William, kuwa only 20% ya mapato ndiyo yanaenda kuwasaidia "watoto wa yatima"?
 
Kwa maana hiyo unataka Mnikulu asiwe na kazi ya kutoa zawadi pale Ikulu kwa yatima wakati wa sikukuu!

Unachoshindwa kufahamu ni kuwa Kikwete ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ikulu ni ofisi ya Rais. Urais ni taasisi na si mtu binafsi kama huyo mtoto wa Malecela na mtoto wa Kingunge.

Kikwete kama Kikwete ana watoto yatima aliowachkuwa anawalea na hawatofautishi na wanawe na hawajijui kabisa wao ni yatima. Au hujui hilo?
 
Naomba uielewe Mkuu. Mimi sijamsema rais Kikwete. Mimi nimemtaja Mnikulu ambaye alikuwepo na atakuwepo kwa rais yeyote ambaye atakuwepo Ikulu! Alikuwepo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na atakuwepo kwa rais mwingine 2015!
 
Back
Top Bottom