Nina washing machine ( mashine ya kufulia) ambayo tatizo lake ni kuwa haiingizi umeme kabisa. Nimecheki fuse ya plug na ya washing machine, zote ni nzima. Fundi anayeweza kunitengenezea awasiliane nami au kwa kuacha contacts zake hapa nimpigie au anitumie PM. Nipo Dar.