Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

Una shilingi ngapi ? Mbzii ya kimara udongo Wa mfinyanzi una kazi kubwa kwenye msingi .Weka Wewe una shilingi ngapi budget na eleza kiwanja kiko eneo tambarare au mwinuko? Upatikanaji Wa vifaa vya ujenzi ukoje, mfano.mchanga, kokoto, tofali, maji nk

Wewe sio fundi, mchanga, kokoto na maji ni kazi yako au ya mjengaji?
 
Kiujenzi hii inakasoro nyingi sana,si ajabu wengine wakaita banda
Na kwa mtu asiye jua kanuni za ujenzi hawezi ona kasoro.Kwa ufupi watanzania wengi hatupendi kutumia wataalamu katika mambo yetu.Inawezekana sababu ya kutokua na taarifa sahihi,ujuaji mwingi au woga wakuzani ni gharama kubwa.
 
Kuna nyumba siku hz naziona, zenyewe hazionekani paa ya nyumba... Je wazijua ????
Hello habarini za muda huu, poleni na covid-19 popote mlipo, natafuta fundi bora, atakayenipa makadilia mazuri ya kusimamisha (namaanisha boma tupu) kwanza, nyumba mahitaji yafuatayo

vyumba viwili (kimoja master),
Sebure kubwa+dinning
Jiko+store
Choo+bafu
Note: vyumba vyote viwili viwe na makabati ya ukutani

Eneo
-lipo dar es salaam (mbezi ya kimara)
-eneo lipo tambalale (sio la kuchonga)
-eneo ni 20m*25m

NINACHOTAKA
-pesa ipo mfukoni
-Nataka kujenga mtindo wa nyumba wa kisasa (usiochukua bati nyingi na mbao nyingi)
-nataka fundi anipe mahesabu ya kusimamisha boma kwanza (pagara).

"FUNDI MWENYE MAKADILIO YANAYOTEKELEZEKA NA GHARAMA NAFUU NAMPATIA KAZI HII YA KUNIJENGEA"

Hii ni hapo chini ni mfano wa nyumba ninayoitaka

Note: naanza kwanza na boma, kwa kuwa pesa yangu sio nyingi na nimejichanga mnoo kuipata. Unaponipa bei jaribu kuzingatia kuwa mimi ni mkulima mdogo wa jembe la mkono, usiniumize sana.

Karibuni sana, kwa ushauri na mapendekezo.
View attachment 1436491View attachment 1436494

View attachment 1436504
 
Njoo Lumona decorations and Building contractors tupo registered CRB as class 5 ,tunajenga nyumba za Bei nafuu na moja ya project zetu ni ujenzi wa nyumba za Bei nafuu za NHIF za mtoni Kijichi lot no 10 scope yetu ilikuwa kujenga na ku decorate .

Ofisi zetu zipo K/Koo block 75 maelezo zaidi 0685389159.
Karibu Sana tukuhudumie.
 
Back
Top Bottom