Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

Mimi ni Architect.Kama huna ramani ya nyumba ntakuchorea bure.tunafanya designing and build.Kazi kama yako tumetoka kuifanya ponde huku kigamboni.Gharama zetu za ujenzi ni Tshs 2,800,000/= Kwa nyumba yenye requirements hizo.Tutaandikishiana mkataba kwa wanasheria kabla ya kazi kuanza.Kwa maelezo zaidi karibu ofisini kwetu kijichi au piga simu namba 0756928360.Hatuna ubabaishaji wa kijinga karibu tufanye kazi.
Gharama hizi ni msingi mpaka api? Na je kama ni nje ya dsm ni gharama sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama hizi ni msingi mpaka api? Na je kama ni nje ya dsm ni gharama sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama hizi ni kujenga boma la nyumba yaani kujenga msingi na tofari za juu na kumwaga mkanda wa zege na kumalizia kozi za juu.Kama nje ya Dar es salaam tunaongea kazi tunafanya popote nchini kwa maelezo zaid karibu ofisini kijichi au tuwasiliane kwa namba hizi 0756928360.Karibu tufanye kazi
 
Nyumba hizi kama unabajeti ya kuungaunga usizishobokee kabisa coz huez kuijenga kwa hadhi na viwango vinavyotakiwa, utalipua na haitakua na mwonekano wake halisi na zaidi sana zinavuja na kuozesha ceilingborad
 
  • Thanks
Reactions: amu
Gharama hizi ni kujenga boma la nyumba yaani kujenga msingi na tofari za juu na kumwaga mkanda wa zege na kumalizia kozi za juu.Kama nje ya Dar es salaam tunaongea kazi tunafanya popote nchini kwa maelezo zaid karibu ofisini kijichi au tuwasiliane kwa namba hizi 0756928360.Karibu tufanye kazi
Mzee ukipewa ramani unaweza fanya makadirio ya gharama za ujenzi la bomba mpaka una paua?
 
Mzee ukipewa ramani unaweza fanya makadirio ya gharama za ujenzi la bomba mpaka una paua?
Ndio mkuu inafanyika.kikubwa inabidi kutembelea site yako.sababu kuna vitu vya kuangalia site ili vituongoze wakati unafanya makadilio.Kwa utaratibu wetu makadilio tutayo kupa ndiyo tutayo ingia nayo kwenye mkataba ili kukuhakikishia uhalisia wa tulicho kukadilia endapo tutakubaliana kufanya kazi.
 
Hello habarini za muda huu, poleni na covid-19 popote mlipo, natafuta fundi bora, atakayenipa makadilia mazuri ya kusimamisha (namaanisha boma tupu) kwanza, nyumba mahitaji yafuatayo

vyumba viwili (kimoja master),
Sebure kubwa+dinning
Jiko+store
Choo+bafu
Note: vyumba vyote viwili viwe na makabati ya ukutani

Eneo
-lipo dar es salaam (mbezi ya kimara)
-eneo lipo tambalale (sio la kuchonga)
-eneo ni 20m*25m

NINACHOTAKA
-pesa ipo mfukoni
-Nataka kujenga mtindo wa nyumba wa kisasa (usiochukua bati nyingi na mbao nyingi)
-nataka fundi anipe mahesabu ya kusimamisha boma kwanza (pagara).

"FUNDI MWENYE MAKADILIO YANAYOTEKELEZEKA NA GHARAMA NAFUU NAMPATIA KAZI HII YA KUNIJENGEA"

Hii ni hapo chini ni mfano wa nyumba ninayoitaka

Note: naanza kwanza na boma, kwa kuwa pesa yangu sio nyingi na nimejichanga mnoo kuipata. Unaponipa bei jaribu kuzingatia kuwa mimi ni mkulima mdogo wa jembe la mkono, usiniumize sana.

Karibuni sana, kwa ushauri na mapendekezo.
View attachment 1436491View attachment 1436494


View attachment 1436504
Kama hujapata naomba tuwasiliane ninao mafundi wazuri, waaminifu na wazoefu wenye bei sawa na bure

Jr[emoji769]
 
Mzee unanishaurije, maana ndio format ya nyumba nilioipenda sana

Sent using komputa mpakato

Mkuu nyumba hizo nyingi zimejengwa sana nchi kama Mozambique [emoji1174] na hazivuji hadi baadhi ya bank nyingi zimejengwa kwa mfumo huo,tatizo wabongo wengi wamezoea kukariri mambo ikivuja nyumba moja wanakwambia zote


Sent using IPhone X
 
Unachosema ni ya kweli mkuu,madalali ndio wanapandisha bei. Jaribu kutembelea haya majengo makubwa,bara bara n.k wanaosuka nondo na kusimamisha jengo ni watu wakawaida....ila Engineer yeye anawasimamia tu na kuwapa maelekezo basi,lakini kazi yote imefanywa na watu wa darasa la saba n.k.
Afu mwsho wa siku injinia ndo anakula Ela ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kwa hii vipi? Inaweza cost sh. Ngapi msingi?
Fanya hivi weka ramani ya nyumba hiyo.ni kazi yako tafuta mchoraji kisha njoo tena eleza unataka contractor Wa kujenga nyumba yote au unataka vifaa na kila kitu utatoa wewe na kuvileta site ikiwrmo.kukiweka kiwanja saw a yaani leveling nk kazi ya fundi iwe kujenga tu
.
IMG_20200708_135858.jpeg
 
Mkuu hongera kwa wazo la kuanza ujenzi.
Lakini ramani au model ya mjengo ulioupenda unaitaji pesa nyingi sana ili kufanya mwonekano wa nyumba kuwa yakupendeza, pia fundi akibugi step kwenye kupaua tu basi utaichukia hiyo nyumba au upauaji wa hiyo nyumba.
Watu wengi wanasema hizo nyumba hazina gharama, lakini kiuhalisia hizo nyumba ni expensive sana maana zinaitaji mambo mengi ya urembo ili kuipendezesha, tofauti za zile la kusimamisha paa ambazo fundi akishaweka paa tu MSOUTH tayari picha ya nyumba ishaonekena.
 
Mkuu Kwa hii vipi? Inaweza cost sh. Ngapi msingi?.View attachment 1500845
Hiyo dinning na kitchen ni vidogo sana,hiyo nyumba ikikamilika utaichukia.nashauri tu lakini kama unaweza uwa hiyo dinning mita moja uongeze jikoni na hiyo moja ongeza sebureni.Kwa udhoefu wangu hiyo nyumba kujenga boma inacheza 3mil-3.5mil
 
Nashkuru mkuu, je ukifanyia hizo modifications? Halafu naweza kuona sample ya kazi zako mkuu?
Hiyo dinning na kitchen ni vidogo sana,hiyo nyumba ikikamilika utaichukia.nashauri tu lakini kama unaweza uwa hiyo dinning mita moja uongeze jikoni na hiyo moja ongeza sebureni.Kwa udhoefu wangu hiyo nyumba kujenga boma inacheza 3mil-3.5mil
 
Nashkuru mkuu, je ukifanyia hizo modifications? Halafu naweza kuona sample ya kazi zako mkuu?
Haina tatizo nitumie email yako nikutumie ,au nicheki kwenye namba 0756928360 tuongee.Maana sisi tunafanya designing na kujenga inategemea tutavyo kubariana
 
Ushawahi msikia Sembeta?? Kuna group la ujenzi rahisi ambalo ukija huko sio tu utapata mafundi wa bei nafuu bali pia utapata ushauri wa bure kabisa kulingana na bajeti yako.......karibu.....0659708033 kuingia katika grupu.....
 
Changamoto ya hizi nyumba huwa ni uezekaji; nyingi huwa zinavuja. Kwa kukushauri, nunua tofari kwanza 2500pcs, weka mchanga tipa 2, nunua simenti mifuko 50,ita fundi anaweza kuanzia 1.5M+
Leo kidogo niingie kwenye mgogoro na mteja wangu. Jana saa 5asbh kanipa mifuko 100 ya cement, Leo kaja saa 7mchana kakuta imebaki mifuko 46 hakunielewa mpaka alipokagua ukubwa wa kaz uliofanyika na idadi ya mafundi niliowapanga. Kama ana hela mifuko 50 ya cement ni michache kwa fundi serious
 
Back
Top Bottom