Fundi tiles huyu hakika hafai

Fundi tiles huyu hakika hafai

uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivoyakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhhutaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau
Acha wivu wa kike.
 
Wazee ndiyo wenyewe maana wana Experience ya uzoefu wa muda mrefu 🙂 Sijui nimeandika sawa yaani Kihaya.

Simu alikuwa anauliza Mpwa wangu mmoja hapa maana na mie nimeshakula chumvi kidogo.

Hiyo AVATAR inaitwa "Usitutie majaribuni."

mie mzee bhanaaaa
siwez jipima ubavu na vibinti kama huyu
ila ubinti wangu si unaniona apo kwenye avatar?
 
Ila vikizidi ni mno.........ole wake atakayesema la mkosaji...
 
self contained shit... hahitaji hata maombi maana kajitosheleza....lol
 
Wazee ndiyo wenyewe maana wana Experience ya uzoefu wa muda mrefu 🙂 Sijui nimeandika sawa yaani Kihaya.

Simu alikuwa anauliza Mpwa wangu mmoja hapa maana na mie nimeshakula chumvi kidogo.

Hiyo AVATAR inaitwa "Usitutie majaribuni."

ha ha ha ha aaaa!
nyonga bhanaa ni tatizo.
tena kubwa katika umri mkubwa kama wangu lol!!
 
Hapa unasemaje? Mie pia naamini hivyo.

d896945027fd4a79394e156caae7332a.jpg


ha ha ha ha aaaa!
nyonga bhanaa ni tatizo.
tena kubwa katika umri mkubwa kama wangu lol!!
 
Isijekuwa fundi hajalipwa chake kaamua alete uhuni
 
Back
Top Bottom