Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
[emoji4] [emoji4] [emoji4] na ole wako ukaseme....Mhhhh¿¿¿¿
[emoji4] [emoji4] [emoji4] na ole wako ukaseme....Mhhhh¿¿¿¿
Tunazungumzia tiles ww, ungesema hizo tiles za rangi tofauti timeongezwa kwa Ps ungeeleweka!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] na ole wako ukaseme....
Hayo Mamikunjo mikunjo design ya Sanamu na Michelen (Khadija Kopa) ndiyo yenyewe. Lazima iwepo tofauti ya Mtoto na Mwananmke yaani TOTO la nguvu. Siyo hawa ambao akijipinda, unahesabu mbavu zake. Kwani mwanaume ni Fisi mla Mifupa?
Sisi twapenda ambao akivaa gauni iliyombana kidogo basi anai-SCREW.
Wewe tuache tu sisi na kiongozi wetu Sheick Kipozeo, mzee wa Mizigo yaani akina Bantu lady , Sister Kaunga na Miss Bantu Walai, hehehehee.... Asprin upo Baba?
Bantu Lady hujambo lakini wewe? Naona umekimbia bila kuaga, nimeona nikuamshe huko uliko.
Fundi Mchundo mwenzangu,
Huku kwetu mida hii ni saa nane kasoro.
Sasa namna hii waeza haribu muda wa mkoloni Usufanye masihara na nyama za Allah.
Alhamdullilah.... labda itokee tu sheikh....
uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivo
yakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhh
utaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau
Ila huyo mama zake kaziweka barabara! Halafu wewe mleta mada huyo mama ndo lengo lako lakini ukazuga eti tiles!Huyu fundi aliyeweka tiles hizi hayuko makini na anaabisha faniView attachment 253343
huo ndio ukweli mtupu!!uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivo
yakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhh
utaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau
Kuna huyu dada anaitwa Corazon Kwamboka, una simu yake? Ng'ombe wa mahali wapo kibao. Inabidi aje SIKONGE huyu.
![]()
ntakutafuta kesho-upate bia baaaariiiiiidiiiiii
mbona ana sura chungu sana??
ama utaifunika shuka? sijaona mvuto kwake zaidi ya iyo figa ila usoni mweeeehhhh
mie mzee bhanaaaaDuuu, nimeyataka mwenyewe, hahahahaaa.....
Nilidhani walau utaandika kuwa unaMZIDI kwa umbo na SURA.
Anyway, my Bad kwani kwenda kuwauliza NYUKI njia ya kwenu mchana kweupe na jua kali, basi umeyataka mwenyewe.
Watu humu hawataangalia tiles zaidi ya nanihiiii
afu sasa ujue umeamska kiu ya kitu baridiiiii!!!!!!!!!
nataman kweli safari wallah sijui niipate wapi saa hizi