fundi hafai kabisa huyo maana kachanganya mpaka rangi hebu tupe no yake tumtafute huyo maana anahitaji kichapo
uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivo
yakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhh
utaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau