Fundi tiles huyu hakika hafai

Fundi tiles huyu hakika hafai

Naomba namba ya fundi niongee nae arekebisha floor hiyo.
 
Tatizo la mifupa ukitaka kupiga unaanzia mbali na wakati round figure akiwa mtupu akikatiza sebuleni unaye hadi pakuche.

Huyo "fundi" hapo sidhani kama atakuwa na hizo nyama unazoziongelea kwasababu hajatofautiana sana na wifi yako na yeye hana hayo "manyama".

jiandae akina Sikonge kuomba urafiki na hatimae kuja kukusalimu nyumban
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa tujadili kandarasi ya fundi tiles, mengine tutayaanzishia mada

wee iyo tiles utakuja ijadili baadae
mie najadili macho yalipodondokea kwanza
kama fubdi ni color blind unategemea nini? si uvunje tiles?
 
Mimi sijaona tiles...nimeiona hiyo object iliyosimama ambayo imefanyiwa photoshop. Angalia hiyo nguzo ndo utagundua ninachomaanisha
 
Kuna huyu dada anaitwa Corazon Kwamboka, una simu yake? Ng'ombe wa mahali wapo kibao. Inabidi aje SIKONGE huyu.

kwamby1.jpg


jiandae akina Sikonge kuomba urafiki na hatimae kuja kukusalimu nyumban
 
Hata mimi ningeharibu tuuu huwezi kufanya kazi huku mwanamke wa umbo hilo unajipitisha pitisha hapo mbele yako unajua hata mwanafunzi wa kiume aliye balehi huwa anafeli somo la mwalimu wa kike mwenye makalio mapana kama hayo kwani huwa ana concentrent zaidi kwenye umbo kuliko anachafundishwa ni shidaaaaaaaaaa
 
mie nimelenga kuangalia umbo na unene wa huyo fundi apo.
uzuri ni ndani ya hilo bubuu ila akivua ma selulaiti plus mikunjo na weusi wa aktikati ya mapaja utakukimbiza

sawa si mnasemaga chumba na baraza?
siwashangai lkn ao mifupa wana raha yake

Wee raha yake unaijua? Unawatumiaga nini? Raha yake wanaijuwa wanaowatafuna bwanaa sio wewe.
 
Photo shop hiyo vijana wa NEW AGE.
Angalia kwenye nguzo kwa chini kabisa utaona bend na kulia pia kuna mkunjo wa kuivuta picha, lakini kwenye mkono wa kulia karibu na kiwiko ndiyo utajua hizo hips ni photo maker imetumika hapo.
 
uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivo

yakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhh

utaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau

ntakutafuta kesho-upate bia baaaariiiiiidiiiiii
 
Photo shop hiyo vijana wa NEW AGE.
Angalia kwenye nguzo kwa chini kabisa utaona bend na kulia pia kuna mkunjo wa kuivuta picha, lakini kwenye mkono wa kulia karibu na kiwiko ndiyo utajua hizo hips ni photo maker imetumika hapo.

Tunazungumzia tiles ww, ungesema hizo tiles za rangi tofauti timeongezwa kwa Ps ungeeleweka!
 
Back
Top Bottom