Fundi simu hapa uliza chochote

Fundi simu hapa uliza chochote

Epateletech

Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
85
Reaction score
64
Una changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo
Ulizq chochote notakujibu kwenye comment

Whatsapp 0757937196
 
Samsung note 9 kioo kimezima, button ya kuwasha pia imekufa nilikua nabonyeza kwa kutumia pin hivyo imekufa kwa ndani kabisa ila nikiweka charge inaingia, inarekebishika??
 
Samsung note 9 kioo kimezima, button ya kuwasha pia imekufa nilikua nabonyeza kwa kutumia pin hivyo imekufa kwa ndani kabisa ila nikiweka charge inaingia, inarekebishika??
Kubadilisha kioo note 9 ni 240k hivyo vibutton mpaka kupata body ni kati ya 30k
 
Wale wanaodukua mawasiliano ya watu wengine wanafanyaje kwenye simu zao
 
npe main cpu chip ya redmi 10c imekufa na znawekwa fake sm inawaka only few days haiwak tena wala ku show charging animation
 
Back
Top Bottom