Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,273
7,363
Habarini wakuu,

Fundi yeyote ana taaluma ambayo wewe huna jifunze namna ya kuishi na fundi kupunguza chances za kukuibia

Fundi yeyote yule unapo mpa kazi mpe uhuru wa kuifanya ile kazi cha muhimu ni kuzingatia ubora wa kazi yako
Fundi asipokuibia hela ,atakuibia materials, asipo kuibia materials atakuibia Muda wako

Huwa naona watu wengi sana wanapoteza muda kufuatana na mafundi especially hawa wa buildings works km carpenter, painter,plumber, electrical & air condition technicians ...n.k
Lakini pamoja na kuwafuatilia hatua kwa hatua bado wanaendelea kuibiwa pasipo kujua ..kwakua lazima tukubali kuwa fundi yeyote amekuzid knowledge ya hiyo taaluma yake ..hvyo bhac ,iwe Kampuni ,Taasisi au Mtu binafsi ..unapokua na kazi yako ..focus zaidi kwenye ubora wa kazi na sio fundi um'bane vipi ili asikuibie

Nimeona mifano mingi sana ya watu wanaolalamika kila siku kuibiwa na mafundi lakini ukifuatilia kwa makini ni watu wanao wabana sana mafundi wakat wa kazi zao lakini ukweli ni kwamba kadri unavozidi kumbana fundi ndo unamuongezea nafasi ya kukuibia

Kwa upande wa hela fundi kukuibia anaweza akataja bei tofaut na bei elekezi..au kazi ambayo angeweza kuifanya kwa lisaa limoja anaweza akaifanya kwa masaa matano ili uone ni kazi complicated umpe hela nyingi

Kwa upande wa materials hapa ndo wanatupigaga sana hususani hv vitu vya spare iwe vyombo vya usafiri, vifaa vya umeme,bomba ,Ac nk hapa hata uwe unajua bei ya kila kitu anaweza akakudanganya kitu flani kimeharibika ni cha kubadilisha kwakua hujui chochote ukimpa hela tayari anakua ameshakupiga hata ukitaka recept za EFD zinanunuliwa..so sio big deals..

Kwa upande wa muda hapa mara nyingi n kwa mafundi walio ajiriwa kwenye makampuni au taasisi ambazo nature ya kazi zao ni za ku move kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine hapo watakua wanatumia muda wa ofisi kufanya kazi zao binafsi

Hebu kila mmoja aelezee mbinu anazozijua ambazo mafundi wanatumia kutuibia kila siku ili angalau tujifunze
 
Kuna jamaa yangu alikuwa kwenye ujenzi wa nyumba yake, jamaa kauzu sana mtu wa kufuatilia kila sent yake imetumikaje. Sasa akamwambia fundi amwandikie na kumpigia hesabu idadi za materials kama mbao na bati fundi alipomaliza jamaa akashika karatasi akamwambia fundi twende kununua vifaa. Fundi akamshawishi ili kuokoa gharama issue ya mabati waende Kiwandani kabisa. Jamaa akapokea wazo wakaenda Kiwanda kimoja kipo Nyerere Road, jamaa akatoa oda pale na kulipa kila kitu then wakapewa mzigo wakaondoka nao.

Sasa baadae fundi akafanya kazi yake akamaliza, sasa ikaja kuonekana kuwa kuna mabati yamepungua na jamaa akawa wakati ule hana hela, akaanza kujiuliza imekuwaje bati zipungue na hesabu ilikuwa sawa. Wakati huo fundi yupo mkoani kwenye kazi nyingine, jamaa ikabidi aende pale kiwandani kuulizia kulikoni, jamaa ndio wakamsanua kuwa fundi kakupiga, jamaa kupiga hesabu vizuri fundi alimpiga kama 2ml. Jamaa akachoka na hasira juu, kumbe pale kiwandani yule fundi anafahamika sana na anawapelekea wateja wengi sana, kwa hiyo ana signals zake anazowapa wale wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alikuwa kwenye ujenzi wa nyumba wake,jamaa kauzu sana mtu wa kufuatilia kila sent yake imetumikaje. Sasa akamwambia fundi amwandikie na kumpigia hesabu idadi za materials kama mbao na bati fundi alipomaliza jamaa akashika karatasi akamwambia fundi twende kununua vifaa. Fundi akamshawishi ili kuokoa gharama issue ya mabati waende Kiwandani kabisa. Jamaa akapokea wazo wakaenda Kiwanda kimoja kipo Nyerere Road,jamaa akatoa oda pale na kulipa kila kitu then wakapewa mzigo wakaondoka nao.

Sasa baadae fundi akafanya kazi yake akamaliza,sasa ikaja kuonekana kuwa kuna mabati yamepungua na jamaa akawa wakati ule hana hela,akaanza kujiuliza imekuwaje bati zipungue na hesabu ilikuwa sawa. Wakati huo fundi yupo mkoani kwenye kazi nyingine,jamaa ikabidi aende pale kiwandani kuulizia kulikoni,jamaa ndio wakamsanua kuwa fundi kakupiga,jamaa kupiga hesabu vizuri fundi alimpiga kama 2ml. Jamaa akachoka na hasira juu,kumbe pale kiwandani yule fundi anafahamika sana na anawapelekea wateja wengi sana,kwa hiyo ana signals zake anazowapa wale wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
dah kwel huyo fundi alimuweza boss wake
 
Dawa ni moja tu usiende duka analokupeleka fundi, hayo maduka wanajuana na mafundi
 
Dawa ni moja tu usiende duka analokupeleka fundi,hayo maduka wanajuana na mafundi

Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa kwenye ujenzi wa nyumba wake,jamaa kauzu sana mtu wa kufuatilia kila sent yake imetumikaje. Sasa akamwambia fundi amwandikie na kumpigia hesabu idadi za materials kama mbao na bati fundi alipomaliza jamaa akashika karatasi akamwambia fundi twende kununua vifaa. Fundi akamshawishi ili kuokoa gharama issue ya mabati waende Kiwandani kabisa. Jamaa akapokea wazo wakaenda Kiwanda kimoja kipo Nyerere Road,jamaa akatoa oda pale na kulipa kila kitu then wakapewa mzigo wakaondoka nao.

Sasa baadae fundi akafanya kazi yake akamaliza,sasa ikaja kuonekana kuwa kuna mabati yamepungua na jamaa akawa wakati ule hana hela,akaanza kujiuliza imekuwaje bati zipungue na hesabu ilikuwa sawa. Wakati huo fundi yupo mkoani kwenye kazi nyingine,jamaa ikabidi aende pale kiwandani kuulizia kulikoni,jamaa ndio wakamsanua kuwa fundi kakupiga,jamaa kupiga hesabu vizuri fundi alimpiga kama 2ml. Jamaa akachoka na hasira juu,kumbe pale kiwandani yule fundi anafahamika sana na anawapelekea wateja wengi sana,kwa hiyo ana signals zake anazowapa wale wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
limewahi kunikuta hili
 
Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
 
Fundi usimbane mabos wengi wanatushawishi tule kwenye kazi zetu.
Boss ananunua vifaa vya million 35 ufundi unamtajia milioni 6 au 5 yeye anakwambia Kuna fundi hii kazi anaweza kuifanya kwa laki 9 we chukua milioni na laki mbili fanya kazi.(hizi ni dharau Mana umetumia akili muda na ujuzi wako wote kukokotoa hesabu) inabidi ukubari kukomoana nae mbelekwambele.

Mafundi tunaakili nyingi Sana tukiamua tunafanya kazi usiku utajipindua tu😊😊😊😊,ukiweka mlinzi tunakula nae pa1.kesi ya boss na fundi hainaga Mambo ya mahakamani.
 
HATA SIKU MOJA USIENDE DUKA ANALOKUPELEKA FUNDI KUNUNUA MATERIAL KULE ASHAPATANA NA MWENYE DUKA KUNA HELA YAKE HAPO MZIGO WA MIL 2 FUNDI KUNA LAKI 3 AU TANO YAKE HAPO MIMI KWENYE UJENZI WA NYUMBA YANGU KILA KITU NILINUNUA MIMI KWA MFANO NONDO MM 12 ZINAHITAJIKA LABDA 100 NAENDAMWENYEWE KWA MRUSI KAMAKA NAPAKIA MZIGO NAWEKA STOO SIKU YA KAZI FUNDI ANAHITAJI NONDO NAMAPA SITOKI SITE NAHAKIKISHA ZOTE ZIMEKATWA ZINATUMIKA UKIANZA UJENZI SHINDA STE KAMA NI MFANYAKAZI CHUKUA LIKIZO KUNA FUNDI MMOJA ALIPELEKA KUNUNUA JERETA KUME KASHAPIGA SIMU JENERETA LLA MIL 2 FUNDI KASEMA NIAMBIWE MIL 3 KUFIKA DUKN MWENYE DUKA NAMFAHAMU NIKAZUGA KAMA HATUJUANI FUNDI MIMATE INAMTOKA KUNISHAWISHI JAMAA KANITUMIA SMS NJOO KESHO ACHANA NA FUNDI WAKO ANAKUPIGA MZIGO SIO BI HIYO
 
Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
Kuna moja nishawahi shuhudi jamaa alibana sana kwa fundi,fundi akasema fresh tena kipindi kile bati za Msouth zinaingia tena zile za migongo mipana ambazo bei yake walimudu watu wachache sana. Jamaa lile paa la nyumba yake tuu alitumia kama 40ml kasoro kwa ukubwa wa nyumba na dizaini ya paa alivyo design. Baada ya paa kupigwa jamaa akasubiri ajipange ili aanze finishing,bahati nzuri wakati ameenda na fundi mwengine wa madirisha ilinyesha mvua moja matata sana. Aisee mule ndani sio chumbani,chooni wala corridors kukawa kama upo chini ya mwembe na bora hata mwembe aisee.

Jamaa pressure ilimpanda pale na zoezi la kupima madirisha likaishia pale,jamaa akarudi home kupumzika. Alipopata nafu jamaa hakutaka kukanyaga tena kule site na uamuzi aliouchukua ni kupiga bei lile pagala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
Lakini huu ni uhuni, mafundi waache hizi za upigaji wa kijinga, yeye anapotaka kupiga pesa ya bosi wake hajui kamba mwenzake ame-hustle kiasi gani kuipata hiyo pesa.

Halafu hiyo kazi unayofanya unalipwa wizi wa nini tena. Ndo maana mafundi njaa njaa hawa hawana maisha ya maana japo wanafanya kazi za pesa nyingi.
 
Hawa jamaa upigaji uko damuni aisee, kuna jamaa yangu ni fundi wiring, ukimuona anatoka site anatembea kama roboti, hapo jua kuna wire umezungushwa tokea kwenye kwapa mpaka kiunoni alafu limetupiwa koti kubwa la fundi juu yake.
 
Hizi changamoto za kusumbuana na mafundi mnazitaka wenyewe client, Siku hizi kuna makampuni mengi tu class VII wanajenga hadi nyumba za viwili, kaa nao chini mpatane muingie mkataba, mkiendelea kujenga ki local hvo mtapigwa sana na nasema mtaendelea kupigwa tu!
 
Fundi usimbane mabos wengi wanatushawishi tule kwenye kazi zetu.
Boss ananunua vifaa vya million 35 ufundi unamtajia milioni 6 au 5 yeye anakwambia Kuna fundi hii kazi anaweza kuifanya kwa laki 9 we chukua milioni na laki mbili fanya kazi.(hizi ni dharau Mana umetumia akili muda na ujuzi wako wote kukokotoa hesabu) inabidi ukubari kukomoana nae mbelekwambele.

Mafundi tunaakili nyingi Sana tukiamua tunafanya kazi usiku utajipindua tu😊😊😊😊,ukiweka mlinzi tunakula nae pa1.kesi ya boss na fundi hainaga Mambo ya mahakamani.
Kabisa mkuu wanajikuta sana hawa matajiri anaweza akanunua matreial 5.milion ila ufund mwambie milion 2 anagoma antk akupe laki 5 s upuuzi huu
 
Back
Top Bottom