Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

Kwenye hii.sekta hawa ndo master wanalizwa mabos tena ni vifaa vya bei kuanzia 2million kwenda mbele
Hawa jamaa wa gereji wanafanya uhuni sana

Ukiacha gari gereji wanaibaga sana spear

Bado hajakupiga kwenye matengenezo
 
Leo siku ya tatu nashinda gareji fundi kaniibia muda wangu na sio kwamba simlipi vizuri no ila tatizo ana kazi nyingi sabab n mbobevu hvyo ili akufanyie kazi yako lazima ubanane nae
 
Back
Top Bottom