Babatunde_seneior
Member
- Jun 21, 2021
- 29
- 23
Nipo dar maeneo ya bunjuMkuu sema unapatikana wapi?
Wengine tupo Mangaka huku?
Labda huja nielewa mimi ni fundiKuna dogo mmoja yuko vizuri Arusha, mifumo hiyo anacheza nayo sana; kama uko maeneo hayo nikupe namba umcheki
Ongeza nyama kwenye uzi wako, ukielezea ubobezi wako ili kuwavutia watu zaidi, na ujielezee uko tayari kumfuata mteja popote alipo n.kLabda huja nielewa mimi ni fundi
Bunju kubwa mtaalam, funguka waambie wadau nipo Bunju mwisho karibu na kituo cha mafuta.Nipo dar maeneo ya bunju
Asante kwa ushauriOngeza nyama kwenye uzi wako, ukielezea ubobezi wako ili kuwavutia watu zaidi, na ujielezee uko tayari kumfuata mteja popote alipo n.k
Nimekuelewa kiongoziBunju kubwa mtaalam, funguka waambie wadau nipo Bunju mwisho karibu na kituo cha mafuta.
Ukitoa taarifa nusu nusu, unawapa tabu na hofu wateja. Bangi ndio inauzwa kwa kificho na code maalum
Sawahujaeleza vizuri kwamda imekuwaje Hadi ikachanganya maji
je umecheki oilí kula ipo vizuri?
je gari ilichemsha ikapilekea kuchanganya maji na oil?
hapo kama imechemsha nakurusha maji fungua hedi hizo angali gasketi zipoje kagua hedi na slivu kamaimechemsha mudamlefu hadikujizima yenyewe inaweza Kuwa ishaharibu slivu au napistoni kwaujumla ikiwanihivyo lazima injini uipige chini
tatizo lagari kuchemaha ndio tatizo baya zaidi mana inatakiwa ukague vituvingi sana ilikubaini chanzo chagari kuchemsha
ukishindwa kukagua chanzo chagari kuchemsha utafungua hizo hedi utarudishia vizuri lakini ugonjwa utakuwa palepale
angalia Hali ya rejeta,wota pampa,kagua hozi zamaji kagua water jacket Zote kwaumakini oil kula icheki nayo vizuri