Hapa DStv haihusikii mkuu, jaribu kuuliza kwanza kabla ya kutoa shtuma zako.Kama kuna fundi amekuharibia basi usi-generalizeYaani kuna kuna wapumbavu wamenifungia DStv mpaka najuta kuwaita, brand kubwa inaharibiwa na vilaza kama hawa, Pumbavu kabisa wakiendelea hivi nitapeleka hiki king'amuzi chao huko head office zao nikakiache huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Decoder na Smart LNB ni 290,000mkuu dekoda ya dstv explorer bei gani?
decoder kama decoder bei gani? maana hapa natumia ile dekoda ya dstv ya kawaida
oooh okay..🙏Lazima ubadilishe hiyo LNB ulionayo ili Explorer iweze kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Canal 175,000 ina channel nyingi tu ikiwemo za mpira na movie. Uzuri wa Canal wanaonyesha movie ambazo updated.
Hii compact ndo bei gani?halafu hiyo smart lnb na explora zina nn cha ziada?Canal 175,000 ina channel nyingi tu ikiwemo za mpira na movie. Uzuri wa Canal wanaonyesha movie ambazo updated.
Ila kama unapenda movie haswa chukua DSTV ulipie Compact plus
Sent using Jamii Forums mobile app
DSTV- 99,000 (kikiwa na kifurushi cha Compact)
Azam Tv - 150,000
Startimes(dish) - 79,000 (pamoja na delivery)
Startimes (antenna) -
Canal - 185,000 (one month subscription + installation[ufundi])