Fumbo!

Kulikuwa na ndege watatu juu ya mti,kati ya hao ndege mojawao akaamua kuruka,je juu ya mti wamebaki ndege wangapi?

Hakuna ndege aliebaki kwani tukio lilitokea wakati uliopita na mpaka leo hakuna ndege hapo.
 
mkuu ni kwamba huyo ndege akaamua kuruka,so hakuruka kumbe aliamua tu,kwahiyo juu ya mti bado ni ndege hao hao watatu

Umewahisha kujibu! Mi tangu mapema nilitaka nitie maguu hapa na nilitaka nijibu hivyohivyo.
Ispokua nilikua nasubiria Thrade inenepe kidogo.
 
Umewahisha kujibu! Mi tangu mapema nilitaka nitie maguu hapa na nilitaka nijibu hivyohivyo.
Ispokua nilikua nasubiria Thrade inenepe kidogo.

kuna wengine niliona kama wanaanza kuaga
 
mkuu ni kwamba huyo ndege akaamua kuruka,so hakuruka kumbe aliamua tu,kwahiyo juu ya mti bado ni ndege hao hao watatu

Twende taratibu Excellent.
Kulikuwa na Ndege watatu juu ya mti
ina maana ndege wapo mtini.

Mmoja wapo akaamua kuruka
inategemea na wazo la ndege huyo kuruka au kutoruka.

Sasa nami narejesha swali kwako.
Kuamua= kutenda jambo,
Kutoamua= kutotenda jambo.
Kama Ndege aliamua kuruka ina maana alitenda lile jambo alilokusudia muda na wakati uleule,
yaani aliruka,

Nadhani ungesema "Ndege Mmoja wapo alikusudia kuruka(maana fumbo limetolewa ktk wakati uliopita mtimilifu usiokuwa na mrejesho maalum")
 
Naona wangu kama uko kuleeee!

Similar Discussions

Back
Top Bottom