Bahati inakufuata we unaichezea. Shauri zako. miss neddy atakupiku muda si mrefu. Utajuta, utalia na kusaga meno.
Haaaaaaa utamfanyaje?
Alafu niwe mchepuko wako una hela wewe mzee au unaleta mbwembwe hapa kaa gauni la harusi
Bahati inakufuata we unaichezea. Shauri zako. miss neddy atakupiku muda si mrefu. Utajuta, utalia na kusaga meno.
Ukisikia wivu wa kike ndio huu sasa. Huna taarifa Mafikizolo kishampiga chini tabibumtaratibu? Miaka hii kifaa kikali kama Mafikizolo atampanuliaje upaja maskini na tabibu wa kienyeji?Shemeji tabibumtaratubu mwenzio anachepuka huku
Kuna Zilipendwa nyingine huwa haziishi ladha..... Naomba nipate japo nafasiiiii, nipate kusema nawe kidoooo ooo mamaaa naumiaaaaa!!gahahaha lol mi nishakuwa zilipendwa
CC miss neddy, KAAAAAZI NI KWAKO!!!Anipiku tuu asee mtumwenyewe wataka niwe mchepuko wako
CC miss neddy, KAAAAAZI NI KWAKO!!!
so in short watu wagegedane kwa heshima.....lol
Umeongea kitu cha busara sana wewe mwanamke, natamani ungekuwa mke wangu
Acha zako mtoto wa kike....hahaha ya kupiku bila competition siitaki
KUmbe wewe ni Ke? Duh ingekula kwangu mazima.....Kumbe we ni me😱😱
KUmbe wewe ni Ke? Duh ingekula kwangu mazima.....
Kuna mtu alinidanganya wewe ni me nikaogopa kukutongoza.....Shkamooo...nin tena itakula kwako??🙂
Kuna mtu alinidanganya wewe ni me nikaogopa kukutongoza.....
Ngoja kwanza niloge kikojoleo chake.Aiiiiiiii...nani huyo alinipeperushia ndege wangu tena
Ngoja kwanza niloge kikojoleo chake.
Utaloga wangapi???ukiona hivyo ujue hujiamin
Hata ikibidi elfu.... ntaloga tu. Kwako wewe acha tu nisijiamini.... Mtoto umeumbwa wakati Mungu akifanya birthday party yake. Hivi unaendaga toilet kweli wewe? Lazima utakuwa unaachia madini wallah..... harufu ya perfume!!
Basi fanya uwezalo malaika wa duniani, niweze kusikia joto la chuchu zako kwenye kifua changu. Ntakuwa ni mwanaume mwenye bahati kuliko King Mswati....... Hivi mamaako alifanyaje akakuzaa mtoto mzuri kuliko Cleopatra?Uwiiiiiiii...basi usiendeleee nisije maliza majani yote kwenye mti...maana unanisifia mpaka naona nyota..hivi tupo peponi au???