illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Mimi kuna jambo hili la ufumanizi lanikera sana tena sana japo mimi pia mwenzangu atakuwa anachepuka lazima najua.
Utakuta mwanamke eti anaenda mfumania mmewe au BF wake nyumba ya kulala wageni au mwanamme anamfumania mkewe nyumba ya kulala wageni.
Halafu tukio linawekwa katika vyombo vya habari au unajaza watu kibao mahali hapo.
Hivi wewe mwanamke unapomfumania huyu mumeo, unategemea kuja rudiana nae ndani na heshima iwepo?
Pili wewe mwanamke unaweka taswira gani au funzo gani kwa wanao ambao humuheshimu huyu baba kama mzazi wao?
Tatu kama ni shoga yako alikuja kukupa hii taarifa ya mumeo yupo na mtu sehemu, Je unafikiri kuwa alikutakia jema hali yakuwa atasababisha ugomvi katika familia yako?
Kwanini tusibadilike? Kwanini tusiwe tunayamaliza kinyumbani nyumbani, au kiheshima hata kama ni mahakamani ila sio kujaza jaza nzi mitaani.. heshima ya nyumba ikabaki?
Siamini kumfumania huko mwanaume au mwanamke baasi ndio atajirekebisha au utajapata mwema zaidi ya huyo katika dunia ya leo.
Ukimfumania huku atatafuta chimbo lingine.
Ukiachana nae utapata mwingine nae atachepuka tuu siku ya siku.
Hakuna malaika wa leo.