Fumanizi

Fumanizi

Ni bora kuzuia mchepuko kuliko kufanya fumanizi.Unajua mpaka fumanizi linatokea basi unakuwa unajua mtiririko wa mpango mzima wa mchepuko,sasa mtu anasubiri mpaka watu wagegedane ndo aende kufumania si angezuia mapema tukio.
 
Koh! Koh! Koh! Koh! KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI!:A S wink:



Kidogo nikupe pole kwa jinsi ulivyopaliliwa na mate kwani nilidhani ulikuwa katika ile purukushani ya kulamba ile kitu ya koni kwa haraka haraka, yaani ulinipa midadi kishenzi. Poa lakini, siku njema!
 
maajabu yake wakifumanianaga.......pamoja na kudhalilishana na aibu zote huwa wanarudiana na kuendelea kuishi pamoja.
 
Back
Top Bottom