Fumanizi

Fumanizi

Mi nafikiri hakuna aibu ya mtu mmoja katika fumanizi. Mwanaume ukimfumania mkeo nawe unapata aibu pia. Na hivyo vivo kwa mwanamke. Kama mmeshindwana ni bora kila mmoja na hamsini zake kuliko kuaibishana.
 
Kama alitoa kauli kanisani mbele ya watu bila kushinikizwa na mtu basi na fumaniz mbele za watu ndo litanoga
 
Mimi kuna jambo hili la ufumanizi lanikera sana tena sana japo mimi pia mwenzangu atakuwa anachepuka lazima najua.

Utakuta mwanamke eti anaenda mfumania mmewe au BF wake nyumba ya kulala wageni au mwanamme anamfumania mkewe nyumba ya kulala wageni.

Halafu tukio linawekwa katika vyombo vya habari au unajaza watu kibao mahali hapo.

Hivi wewe mwanamke unapomfumania huyu mumeo, unategemea kuja rudiana nae ndani na heshima iwepo?

Pili wewe mwanamke unaweka taswira gani au funzo gani kwa wanao ambao humuheshimu huyu baba kama mzazi wao?

Tatu kama ni shoga yako alikuja kukupa hii taarifa ya mumeo yupo na mtu sehemu, Je unafikiri kuwa alikutakia jema hali yakuwa atasababisha ugomvi katika familia yako?

Kwanini tusibadilike? Kwanini tusiwe tunayamaliza kinyumbani nyumbani, au kiheshima hata kama ni mahakamani ila sio kujaza jaza nzi mitaani.. heshima ya nyumba ikabaki?

Siamini kumfumania huko mwanaume au mwanamke baasi ndio atajirekebisha au utajapata mwema zaidi ya huyo katika dunia ya leo.

Ukimfumania huku atatafuta chimbo lingine.

Ukiachana nae utapata mwingine nae atachepuka tuu siku ya siku.

Hakuna malaika wa leo.

Umefumaniwa nini!! mimi nafikiri hiyo tu haitoshi..., ikiwezekana katakata hiyo kitu yake kuliko kuleteana maradhi kwenye ndoa.
 
Kuna watu wanachangia hili swala la fumanizi as a joke, hili ni jambo lonaweza kumtokea mtu yeyote bila kutegemea, unaweza kukutana na me au ke mkatongozana na mkawa mmefichana mahusiano yenu mengine either umeoa au umeolewa, na hili lipo sana tu watu kufichana mahusiano yao mengine, siku ikitokea mkafumaniwa inakua bad sana, tujaribu kuwa wakweli katika mahusiano, me naogopa sana mke wa mtu.
 
Juzi sijalala nilikuwa guest house nilopofikia kikazi alikuja dada mmoja kufumania ukweli tuliamka nakuanza kumshambulia kwa maneno na makofi akaamua kuondoka nasisi tukapata kulala. Nlikerwa sana na kitendo hicho.
 
We ntadili na wewe coz wajua we mme wam2 kwanini ukubali chepuka? demu mie stadili naye coz wewe huna bandiko linalo onyesha umeoa ila wewe ndo wajua
kwahiyo na we ukinifumania utanipiga mimi!?? sio ukazane na huyo mdada, bila ye mi nsingechepuka
 
Hapa ukikomenti bila experience inabaki wishful thinking...

Maana kumdhalilisha mume ni cha mtoto...

watu hutamani kuchukua bastora kuwatwanga watu risasi...

Ongeeni tu tokana na matukio ya wengine...

Yakikukuta ndio utajua kuwa akili kazi yake ni kuwaza au kufikiri...
 
Mimi kuna jambo hili la ufumanizi lanikera sana tena sana japo mimi pia mwenzangu atakuwa anachepuka lazima najua.

Utakuta mwanamke eti anaenda mfumania mmewe au BF wake nyumba ya kulala wageni au mwanamme anamfumania mkewe nyumba ya kulala wageni.

Halafu tukio linawekwa katika vyombo vya habari au unajaza watu kibao mahali hapo.

Hivi wewe mwanamke unapomfumania huyu mumeo, unategemea kuja rudiana nae ndani na heshima iwepo?

Pili wewe mwanamke unaweka taswira gani au funzo gani kwa wanao ambao humuheshimu huyu baba kama mzazi wao?

Tatu kama ni shoga yako alikuja kukupa hii taarifa ya mumeo yupo na mtu sehemu, Je unafikiri kuwa alikutakia jema hali yakuwa atasababisha ugomvi katika familia yako?

Kwanini tusibadilike? Kwanini tusiwe tunayamaliza kinyumbani nyumbani, au kiheshima hata kama ni mahakamani ila sio kujaza jaza nzi mitaani.. heshima ya nyumba ikabaki?

Siamini kumfumania huko mwanaume au mwanamke baasi ndio atajirekebisha au utajapata mwema zaidi ya huyo katika dunia ya leo.

Ukimfumania huku atatafuta chimbo lingine.

Ukiachana nae utapata mwingine nae atachepuka tuu siku ya siku.

Hakuna malaika wa leo.

so in short watu wagegedane kwa heshima.....lol
 
Hahahahah usiombe ukakutwa na bwana pepsi, kunakuwa na wazee wakazi yaani niwazee wa shughuli hao usiombe wakakukuta utaomba poooh, yaani wao niwazee wafumanizi, ukitaka kumfumania mkeo au mmeo wewe watafute wapo kikazi zaidi, ila uwape info zote hahaha alafu usikilizie mwanaume atakavyo cheuliwa hahah balaa tupu
Hao huwa siwaelewi mtu utasimamishaje mshedede na kumwinamisha mwenzio
 
Kwa taarifa yako fumanizi nyingi zinazoletwa kwenye magazeti na hasa magazeti ya shigongo yanakuwa yametengezwa ili watu wauze magazeti yao ya udaku. Kama ulivyosema, anayekwenda kumfumania mme au mke wake ana haja gani ya kwenda na wapiga picha wa magazeti?

Tiba

nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom