Fumanizi

Fumanizi

Mie nilishuhudia fumanizi.
Jamaa kamfumania mkewe anagegedwa uwanjani mida ya saa moja kigiza ndo kinaanza kuingia.

Alikuja na panga.
Bahati tu mchepuko wa kiume ukachoropoka fasta.

Kichapo alichopewa mwanamke ni heavy.

Fumanizi ni kuabishana tu.
Sidhan baada ya tukio mtaishi kwa kuaminiana, kushirikiana.

Taswira ya mkeo/mume akipewa raha na mchepuko haitoki kamwe kichwani, itakuwa inaji review in a slow motion...😡😡😡
 
Me nafikir jambo la msingi nala maana nikukataza michepuko na siyo kuzungumzia aibu ya kufumaniwa...kwa hiyo unataka hadi uletewe au upeleke magonjwa ndani ndo useme kuwa kuchepuka haitakiw,kufaminiwa kuendelee ili wengine wenye kuwaza tabia hiyo waache...
 
USIOMBWE KUFUMWA NA ''BIBI PEPSI''
577742_402016136540386_1895770554_n.jpg

Hapa na ushosti unaisha.... naona Mrs. Dago anamsubilia kwa hamu Mafikizolo.... chezea dushe ya naniliu
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwenye fumanizi wa kupigwa au kulalamikiwa ni mpenzi wako au yule uliemkuta nae.... hii nayo ni mtihani!!!!
 
Mimi kuna jambo hili la ufumanizi lanikera sana tena sana japo mimi pia mwenzangu atakuwa anachepuka lazima najua.

Utakuta mwanamke eti anaenda mfumania mmewe au BF wake nyumba ya kulala wageni au mwanamme anamfumania mkewe nyumba ya kulala wageni.

Halafu tukio linawekwa katika vyombo vya habari au unajaza watu kibao mahali hapo.

Hivi wewe mwanamke unapomfumania huyu mumeo, unategemea kuja rudiana nae ndani na heshima iwepo?

Pili wewe mwanamke unaweka taswira gani au funzo ganikwa wanao ambao humuheshimu huyu baba kama mzazi wao?

Tatu kama ni shoga yako alikuja kukupa hii taarifa ya mumeo yupo na mtu sehemu, Je unafikiri kuwa alikutakia jema hali yakuwa atasababisha ugomvi katika familia yako?

Kwanini tusibadilike? Kwanini tusiwe tunayamaliza kinyumbani nyumbani, au kiheshima hata kama ni mahakamani ila sio kujaza jaza nzi mitaani..heshima ya nyumba ikabaki?

Siamini kumfumania huko mwanaume au mwanamke baasi ndio atajirekebisha au utajapata mwema zaidi ya huyo katika dunia ya leo.

Ukimfumania huku atatafuta chimbo lingine.

Ukiachana nae utapata mwingine nae atachepuka tuu siku ya siku.

Hakuna malaika wa leo.

Kumbe bado tuna watu wenye busara nchi hii! Big up!!
 
ha ha ha mambo ya kufunga mtaa...!!!
naomba tu niishie kuyaona kwa shigongo
 
Mimi hata nimfumanie boyfrend wangu na mwanamke mwingine, sitopiga kelele kamwe, kwa nini nijidhalilishe mbele za watu akhuuu. Ntatafuta tu means ya kumuonesha kuwa nimemuona live, nikimaliza huyo nasepaaa. Kitakachoendelea kati yangu mimi na yeye, atakijua atakaponitafuta.
 
Ukiona mpaka anamfumania mbele ya vyombo vya habari ujue huyo mwanamke kavumilia misalaba ya kutosha...

Amefikia point kwamba liwalo na liwe

Na hajali tena kuhusu kesho ya uhusiano itakuwa wapi

Kuna wanawake wanapitia maswaibu makubwa ya kutisha kutoka kwa waume zao....
 
Hahahahah Mrs.Dago katuna huyo hadi raha na alivyo sasa mwili jumba mkono kibanda hatareee sana huyu

hapo akikukalia tu kwisha habare yako... sipati picha akiwa na Mr Dago
 
Last edited by a moderator:
Katika vitu ambavyo nimeapa kutoshughulika navyo ni kufumaniana, kwa kweli nikimfuma mtu na mke wangu namuachia, SINA HATA HAJA YA UGOMVI HATA KAMA ITANIUMIZA LAKINI SINTOKUWA NA UWEZO WA KUBADILISHA FEELING ZAKE, KAMA YEYE ANAJISIKIA YUKO HAPPY NA MTU MWINGINE KULIKO MIMI THEN I WILL BE SORRY FOR MYSELF AND MOVE ON.
 
kama wewe na mkeo/mumeo mna miaka zaidi ya 3 ndani ya ndoa ,mtu akamchukua kwa masaa 2 tu kwanini upagawe?Kinachofuata we mchukue mwenza wako mrudi nyumbani maisha yaendeleee
 
Back
Top Bottom