Fumanizi

Huyo mke ni malaya ,kuna watu duniani sijui wameletwa waje kuharibu maisha ya watu?ana kila sifa ya shetani,Shetani mimi naamini sio kiumbe ni watu sisi wenyewe
 
Ajabu hajaenda kumshitaki kwao, bado wako nae japo wanalala room tofauti, ILA anaonekana bado anampenda mke wake.

mkuu unajua fumanizi la kwanza huwa linachanganya sana..

ni bora angekuwa ameshafumania mara 2 na kuendelea ili awe experienced..! hapo kichwa lazima kiume!

 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa yako mbwiga kweli

unaendaje kumfumania mkeo kama sio kujiaibisha??? kama ana courage, angeacha huyo mke mapema au agugumie mtanange tu

usifumanie kama huna courage ya kubwaga
 
Huwa nashangaa sana watu kupoteza muda kichch kichch tu hata mukae usiku mzima hawezi kuchange
 
mkuu unajua fumanizi la kwanza huwa linachanganya sana..

ni bora angekuwa ameshafumania mara 2 na kuendelea ili awe experienced..! hapo kichwa lazima kiume!


Mkuu mimi nikisikia tu moyo unakuwa karibu kuacha mwili, sembuse nifumanie live?! Naweza RIP japo siwezi kumdhuru yoyote maana wamekubariana hakuna aliembaka mwenzake.
 
Last edited by a moderator:
Tena wawili

Wapo watu hawaridhiki, pia kunakasumba moja imezoeleka Kuwa mume anakutana na mke wake kistaarabu kama kumheshimu, Sasa mke anapotoka nje anakutana na mhuni anampa shurba heka heka, basi anakuwa anapenda, kwahiyo kwa mumewe anakuwa anatimiza wajibu wa ndoa na nje ndiyo anafuata heka heka wazungu wanaita HARD CORE.
 
Mkuu mimi nikisikia tu moyo unakuwa karibu kuacha mwili, sembuse nifumanie live?! Naweza RIP japo siwezi kumdhuru yoyote maana wamekubariana hakuna aliembaka mwenzake.

tulia kijana...

jambo la kufanya ni moja, wala usilipizie kisasi au kuji-R.I.P wakati bado una umri mrefu wa kula madafu!

fanya uchunguzi wa kina kwanini mpenzi wako ametoka nje ya uzio wako na kwenda kugawa tunda la heshima nje!!

fanya analysis uone kama wewe huwa unamzidishia sana mpaka kumuumiza ama huwa unampunja kiasi cha kuacha hipsi zikiwa zinamuwasha sana --- ushawahi kujiuliza ni kiasi gani unamfurahisha mpenzi wako??

wataalam wanasema ''mwanamke umleavyo, ndivyo akuavyo''!

je mpenzi wako huwa unamlea katika mazingira magumu ama vipi??

ndugu kabla hujatangulia kwa red devil, fanya hizo strategic analysis...
 

Amshugulikiye tu mkewe kisawasawa. Ila hayo ndio matatizo ya gender equality
 
Asilimia kubwa ya mademu wa kibongo ni watalii ama majinamizi ya mapenzi. Utakuta demu anakutaka pale anapohisi wenzake wanaolewa na yeye yuko tu bila hata mchumba. Utatembea naye for a while, naye atafanya chini juu umuoe kisha utampenda tu kwa mapenzi yako yote huku yeye akichekelea mpaka jino la mwisho. Akitoka tu nje kwenda gengeni na kutongozwa lazima utawasikia niko alone au jamaa yangu ni ms.enge tu, sema wewe una dau gani? Kwa mtaji huu tutawapenda kina dada kweli? Yaani unavyowaona mastaa wa bongo muvi na mademu wengi wa kibongo ni vile vile tu. Kunadi utu wao ni jambo la kawaida sana.
 
kumsamehe mtu haina maana kwamba lazima mrudiane cha kumshauri amsamehe na amuache moja kwa moja ili apate funzo uko aendako
 

mpe pole sana na avumilie tu . asimfukuze mke
ila hapo kwenye kukodi watu, alitaka kwenda kuua au?
 
mi nadhani mkimuamulia mtakuwa mnakosea maamuzi yako mikononi mwao wenyewe,
wakae waongee tatizo liko wapi na amuulize huyo mke wake anakosa nini au wapi jamaa anapokosea hadi bidada anatangaza hajaolewa wakati anamume na mtoto. may kuna kitu atimiziwi na anashindwa kujieleza.

pili wakapime kabla ya kuendelea na mahusiano na kama ni mara ya kwanza amsamehe na atajifunza kupitia hilo
 
mpe pole sana na avumilie tu . asimfukuze mke
ila hapo kwenye kukodi watu, alitaka kwenda kuua au?

Mkuu unajua ukienda kupambana na jeshi hujui wasifu wake unaweza kubeba silaha zote ndani, ndicho alichofanya huyu ndugu yangu, alihofu akienda peke yake atachezea kichapo na wife anaondoka.
 

Kweli maana unaweza kuwashauri waachane, baadae unakutana nao wako pamoja wanacheka wanaitana honey, baby, matokeo yake unaona aibu, nimemuachia mwenyewe aamue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…