Fumanizi

Fumanizi

Dah hizi ndoa za siku hizi majanga matupu yaani namuonea huruma kweli mshkaji mkewe anamsaliti bila ya mwenyewe kujua.,i guess atakuwa ameumia sana. Ila cha msingi akae nae amuulize sababu ya kumsaliti ili jamaa ajirekebishe maana najua kila kitu kinatokea kwa sababu ikiwa tu ni ameteleza basi anaweza kumsamehe lakini asirudie tena akirudia no excuses apige chini.

Jamaa naona anajishauri sana kumuacha maana shemeji yangu mashaallah, mpaka mimi huwa naogopa kumpa lifti, nguo anazovaa halafu akae pale mbele, napata wakati mgumu sana kutokana na umbo lake hasa akikaa nguo inapanda juu, najikuta naangalia gear lever na kuchomoa shati langi kulivuta mbele kuficha aibu.
 
cha kwanza inabidi ambadilishe kimavazi avae nguo za heshima sio umemuoa mwanamke alafu anaendelea kuvaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu zake zinazopswa kuficha so cha kwanza amwambie abadilishe mavazi yake ili apunguze rate ya kutamaniwa na kutongozwa
 
Jamaa naona anajishauri sana kumuacha maana shemeji yangu mashaallah, mpaka mimi huwa naogopa kumpa lifti, nguo anazovaa halafu akae pale mbele, napata wakati mgumu sana kutokana na umbo lake hasa akikaa nguo inapanda juu, najikuta naangalia gear lever na kuchomoa shati langi kulivuta mbele kuficha aibu.

Team bazaz at work
 
Kusamehe xawa atamsamehe bt kurudisha imani inakuwa ngumu xana, 7bu wanasema mtu akikusaliti mara 1 atarudia tena na tena!
 
Huyo jamaa aamuae moa kupiga chini au kendelea na mke wake. Uamuzi wa mwisho ano yeye. Ila ajue huyo mke wake ni ''ma.ya.la.'' Mambo mengine mtihani kweli kweli.
 
jamaa anaonekana bado anampenda sana mke wake.
 
Mwambie apige chini asirembeiga, tangu lini kunguru likafugika?
 
Back
Top Bottom