Fumanizi

Fumanizi

Huyo jamaa yko naye hatoshi.......... Mwanamke amekiri kabisa kuwa alimkana mbele ya jamaa kuwa hana mume halafu yeye anaendelea kuomba ushaur! Hapo ni kumfungashia mabegi na kumtupia nje
 
Dada zangu na shemeji zangu shansarie Karucee Valentina Chocs Munkari ICHANA MankaM Sista Bantu lady Honey Faith charty ram Heaven on Earth Dinazarde Passion Lady farkhina na wengine wote ambao sijawataja naombeni tumshauri ndugu. Yangu, pia na washikaji wote kiwatengu Daudi1 uran Excel MTAFITI Kibo10 Money Stunna na wengine wote tumpe ushauri ndugu yetu yamemkuta.
Siku hizi kumekuwa na tabu sana sijui kwa nini hili jinamizi linazikumba ndoa nyingi,mimi siamini kama jamaa hajitumi ni kijitabia kimezuka wanawake wanatoka nje ya ndoa wakisingizia kutofikishwa kwani mpaka anaolewa hakuliona hilo kizazi chenyewe cha shake before use? kama amegundua tofauti baada ya kuingia ameshindwa kuongea na muhusika mpaka anatoka nje au kutoka nje ndiyo suluhiho la kuridhishwa? Akae na mke wake watafute suluhisho la kudumu wakitafakari zaidi mstakabali wa maisha ya mtoto wao,muda mwingine wanawake wanajidharirisha wenyewe,hata jamii inayomzunguka haitamthamini na kumuona kicheche
 
Nikiongea neno moja tu nitabubujikwa na machozi kwa jinsi ulivomisiwa na nafsi yangu...!

ha ha ha loh twenzetu escape banaa! Nimemis pale mahali aisee kwani bday yako haijafika tena?!!
 
Hivi kisa cha kwenda kushikana mashati na mtu kwasababu ya papuchi ni nini?

......hahahahahaaaa, utamu bro,,,,,shimo lako asali mwingine akichovya ni balaaa.....hahahahahaaaa
 
Ahahah...kuna kiota kingine kizuri zaidi...nimeku-PM lokesheni Nicas Mtei asije akajiinvite~!

afu tukutane jukwaa la elimu pale juu kwenye sticky nikwambie kitu tochi yangu imeishiwa bundle !!
 
Last edited by a moderator:
Ndpa inahusisha watu wawili wenye jinsia mbili tofauti
Wanaokubaliana kuitengeneza hiyo ndoa

Mtu ambae ni mwanachama wa hiyo ndoa akiamua kuivunja hakuna namna
Hata mwanachama mmoja akiamua kutumia alivyonavyo kama pesa na mabavu kuirudisha haitasaidia

Kumlazimisha mmoja kati ya wanachama hao kubaki ndoani ni kupoteza muda
Hakuna mwenye uwezo huo wa kumlazimisha mtu yoyote kufanya hilo

Huyo jamaa anataka kujaribu kupanda mlima kilimanjaro kwa baiskeli
Mkewe ameamua kuutumia mwili wake atakavyo,ataweza kumzuia?

Leo atampiga huyo jamaa kesho mkeo atampelekea dawa na chakula kwa kipigo ulichompa tena kwa hela zako mwenyewe
Utafanyaje ukisikia hilo?
Utaenda kuua?

Acheni kupoteza muda kwa mambo yasiyokuwa na msingi
Huwezi kumpangia mtu namna ya kuutumia mwiliwake!

....yaani hapa ni thread closed.........tupa kule songa mbele......
 
Jamaa mbona anadai anajituma sana muda mrefu tu kwa lengo pia la kupata Mtoto wa 2 lakini hakuna kitu! Siyo tamaa kweli??!.

Huyo mwanamke haridhiki keshakutana na misumari kama hii 1395413618090.jpg
 
Siku hizi kumekuwa na tabu sana sijui kwa nini hili jinamizi linazikumba ndoa nyingi,mimi siamini kama jamaa hajitumi ni kijitabia kimezuka wanawake wanatoka nje ya ndoa wakisingizia kutofikishwa kwani mpaka anaolewa hakuliona hilo kizazi chenyewe cha shake before use? kama amegundua tofauti baada ya kuingia ameshindwa kuongea na muhusika mpaka anatoka nje au kutoka nje ndiyo suluhiho la kuridhishwa? Akae na mke wake watafute suluhisho la kudumu wakitafakari zaidi mstakabali wa maisha ya mtoto wao,muda mwingine wanawake wanajidharirisha wenyewe,hata jamii inayomzunguka haitamthamini na kumuona kicheche

Balaaaaa
 
Back
Top Bottom