Fumanizi

Fumanizi

Asipokuwa makini atapiga watu mangumi kila siku na mwisho ataishia SEGEREA aongee na mke wake kama anaweza kubadilika, watafute sababu zilizopelekea umaruhuni huo na ikishindikana waachane kwa wema

Kweli mkuu.
 
huyo kaingia choo cha kike,mwambie avumilie mpaka mwisho wa safari
 
Bwana Rich Pol: Jamaa kashashuhudia manyoya, ajue wife keshaliwa, hana chake hapo, labda cheti cha ndoa tu.
 
Jamaa wa nje anapiga mitandao yote including 0715..
 
Jamaa wa nje anapiga mitandao yote including 0715..

Kuna mtu aliniambia baadhi ya wake za watu nje wanatoa hiyo kitu, lakini mume wa ndoa ukiomba unashitakiwa kwa wazazi wako au wake.
 
Richpaul mrejesho! Rafk ako alimsamehe mkewe! Kwa ule usaliti? I want to learn smthn!
 
life is long journey avumilie mpaka mungu atakapo watenganishe
 
Back
Top Bottom