Fumanizi

Fumanizi

Munkari mama nimekumisi sana nipm na zawadi yako pls
 
Last edited by a moderator:
wewe hujawahi kukutana na papuchi za maana,,kuna papuchi taamu ajabu yaani hata usikie waziri mkuu anazengea mkeo utataka kuenda kupigana...papuchi mnato,taamu,ina joto kama jiko la mkaa la udongo..hapana chezea ww...naongea nikiwa na uhakika kabisaaaaa

Wewe umejuaje wakati ni mwanamke?

Hatahivyo hakuna papuchi ya kunifanya nikamshike mtu shati hata kidogo!!!!!!!!!!!
 
Leo lift tu kavua chupi! Je boss wake akimuomba si atavua tena ili asiifukuzwe kazi. Yani shemeji yako inaonekana mwiko kumfanyia wema ukimfanyia tu malipo chupi.NDOA NGUMU
 
Mkuu jamaa anadai anatetea ndoa yake.

Huyo mwanamke si anajinadi hajaolewa?
Mshauri jamaa yako apige kazi mkewe ajione kweli yuko kwenye ndoa!!!
Atapigana kila siku!
 
Kuna mdau humu jamvini anaitwa LifeHacker nadhan yeye atsaidia mdau ndoa yake iwe na amani kama yake!!! Na Pasco pia tunaomba ushauri!! Maana haya mambo ya mangumi kwenye ndoa yanatufanya tusogee mbali kabiasa na hiki kinaitwa ndoa!!!
 
Last edited by a moderator:
Hujapenda wewe!

Kama unajiita umependqa halafu iunakwenda kushikana mashati kwa mtu kuamua kuutumia mwili wake atakavyo utakuwa una matatizo ya akili!
 
Wana JF poleni na majukumu. Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ameshanitaarifu, ndiyo wakaenda Hunters, kufika jamaa akamwambia mke wake atangulie ndani wanamaongezi, alipoingia ndani kutafuta pa kukaa, jamaa akamuona akawa anamuita '' honey niko hapa njoo'' jamaa nao wakawa wamefik
 
Back
Top Bottom