Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
- Thread starter
- #141
kumsamehe mtu haina maana kwamba lazima mrudiane cha kumshauri amsamehe na amuache moja kwa moja ili apate funzo uko aendako
Waswahili wanasema ukitaka kumjua mgoni wako muache mkeo, utashangaa akimuacha anaanza kuonekana na mtu unaemfahamu wala hukumdhania.