Fumanizi

Fumanizi

Lift 2 unapewa papuchi hapo huyo dada aseme ukweli kampendea jamaa lift, inaonekana anashobokea magari hata huyo jamaa ajitume kwenye 6×6 haisaidii mke macho juu.mimi ningefukuzia mbali akipewa lift 2 anatoa mechi
 
Kadanganye mambumbu wewe. Unafikiri watu wengine hawafuatilii habari. HUNTERS ILIUNGUA WIKI ILIYOPITA NA HAITOI HUDUMA. Kakojoe ulale na stori zako za kutunga. Na mnaochangia thread hizi za uongo na nyie ni waongo pia.
Wana JF poleni na majukumu. Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ame
 
Namwonea huruma huyo mwanaume aliye pigwa tu. Hapa nasema alionewa na haifai kurudia tena upunguani huu. Mwenye mke alishaiua ndoa yake siku nyingi tu. Tangu ajiokotee hicho kitoto kilichokuwa kinapita tu akajiona kuwa naye ni kidume. Alianza kumdhalilisha mke wake. Aidha kwa kuwa na michepuko au aliamua kuingia kwenye ulevi. Akaisahau ndoa yake.
Shemeji naye akashindwa kujichuwa kila siku, jamaa anaangalia kando, kwa nini asijitafutie kipoozeo??
Mpe rafiki yako ushauri mzuri tu. Arudi nyumbani au aendelee na mchepuko wake lakini asiendelee kumtesa mkewe. Kama ni vibaya kwake kufumaniwa pia ni vibaya kufumania. Mkewe alishatangaza hana mume bali mlinzi na mlishi tu ndo maana ananenepeana.
Wazee wanasema; Mke sio umlishe ugali tu na kumvika, mtosheleze afike kileleni. Hapo una mke. Atakuheshimu wala nje haendi.
 
Kadanganye mambumbu wewe. Unafikiri watu wengine hawafuatilii habari. HUNTERS ILIUNGUA WIKI ILIYOPITA NA HAITOI HUDUMA. Kakojoe ulale na stori zako za kutunga. Na mnaochangia thread hizi za uongo na nyie ni waongo pia.
Wana JF poleni na majukumu. Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ame

Nimecheka sana kumbe dogo anadanganya tu
 
Alimwambia aseme ukweli ili amsamehe, ndiyo akasema anafanya kazi jengo moja, akitoka anamsaidia lift jion wakati mwingine asubuhi, akamtongoza, Sasa aliogopa kumkatalia kwa kuhofia kunyimwa lift, akawa anamrusha rusha, mwisho wa siku jamaa alimzidi ujanja akajikuta anatembea nae, ila amekataa kusema ametembea nae mala ngapi.

Yani aliogopa kumkataa kwa kuhofia lift?? Hata wewe inakuingia akilini? Hata ni mkeo hapo jua huna mke!!!
 
Wana JF poleni na majukumu.
Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ameshanitaarifu, ndiyo wakaenda Hunters, kufika jamaa akamwambia mke wake atangulie ndani wanamaongezi, alipoingia ndani kutafuta pa kukaa, jamaa akamuona akawa anamuita '' honey niko hapa njoo'' jamaa nao wakawa wamefika, ikawa ugonvi kumpiga jamaa, ila nikawa nimefika nikaamulia japo jamaa alikuwa kaumizwa kidogo, ktk kumhoji jamaa alionekana hana makosa maana aliambiwa hajaolewa, mke alikiri kumwambia hivyo, ala anaomba msamaha, unamshauri vipi ndugu yangu?
Mijianaume mijinga kama hilo halihitaji ushauri!. Hata huyo mke ni kiazi fulani!.
Sorry, kupitia "graphology", this story looks too good to be true!.
Pasco
 
Haya mambo ya simu haya..anyway mwenye makosa ni huyo mama na hivi wanaume kusamehe makosa kama hayo ni ngumu sana,kushirikisha wazazi ni aibu tupu kwa huyo bibie...swala gumu sana hili kushauri
Kweli michepuko sio dili
 
hapo hana mke kwasababu huyo dada hata acha, nina rafiki yangu tena tunaishi jirani yuko kama huyo dada habadiliki na mbaya zaidi yeye kila atakaemtongoza alimradi ana pesa ni twende na kwa kuwa ni mzuri sana basi ni kutongozwa kila siku anawapanga tu, yani ile ndoa yao ni bora ndoa

Hiyo Ndoa ina watoto?
 
aisee....!

bado nimepigwa na bumbuwazi! how comes ndoa inachukuliwa kirahisi rahisi hivyo kama mchezo wa kuigiza? hajaolewa wakati ana mume jamani?:A S 13:


mkuu Rich Pol, naomba umalizie hicho kisa! jamaa baada ya hapo alimfanya nini mke wake?

Ajabu hajaenda kumshitaki kwao, bado wako nae japo wanalala room tofauti, ILA anaonekana bado anampenda mke wake.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanamke si anajinadi hajaolewa?
Mshauri jamaa yako apige kazi mkewe ajione kweli yuko kwenye ndoa!!!
Atapigana kila siku!

Baada ya fumanizi shemeji yangu akawa ananitafuta tuongee anataka tuonane sehemu wawili tu tuongee, nikaogopa hasa mitego yake! Asije akaniharibia kwa rafiki yangu, nikamfuata kwake nikaongea nae hapo hapo.
 
Hapaswi kushauriwa huyo.Anapaswa kuamua kwa jinsi navyojisikia moyoni mwake.Hata walipoanza mapenzi na huyo mkewe aliamua kwa kufuata alichokisikia moyoni mwake sio.:nod:
 
Ndpa inahusisha watu wawili wenye jinsia mbili tofauti
Wanaokubaliana kuitengeneza hiyo ndoa

Mtu ambae ni mwanachama wa hiyo ndoa akiamua kuivunja hakuna namna
Hata mwanachama mmoja akiamua kutumia alivyonavyo kama pesa na mabavu kuirudisha haitasaidia

Kumlazimisha mmoja kati ya wanachama hao kubaki ndoani ni kupoteza muda
Hakuna mwenye uwezo huo wa kumlazimisha mtu yoyote kufanya hilo

Huyo jamaa anataka kujaribu kupanda mlima kilimanjaro kwa baiskeli
Mkewe ameamua kuutumia mwili wake atakavyo,ataweza kumzuia?

Leo atampiga huyo jamaa kesho mkeo atampelekea dawa na chakula kwa kipigo ulichompa tena kwa hela zako mwenyewe
Utafanyaje ukisikia hilo?
Utaenda kuua?

Acheni kupoteza muda kwa mambo yasiyokuwa na msingi
Huwezi kumpangia mtu namna ya kuutumia mwiliwake!
ni kweli kabisa huwezi kuchunga mtu na hapo hakuna ndoa tena! Tena ndo wataendelea kuiba sana tu.binadamu wanyama wabaya kuliko wote duniani
 
Back
Top Bottom