Fumanizi kitaani kwetu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
wabongo wasisikie jambo ..maskio juu juu .....tatizo ni nini? ajira?
uswa.jpg
 
mtaa unaishi mshkaji wangu ni sooo dah!........mi nilijua cjui uko wapi vile kumbe hapo mi aka tena loh!
 
mtaa unaishi mshkaji wangu ni sooo dah!........mi nilijua cjui uko wapi vile kumbe hapo mi aka tena loh!
aaa sio fresh ..mbona mtaa upo fresh tu huyo....kila mtu anajua kuawa mwenzake kapika nn leo ...
 
Kulikuwa na fumanizi.mwanamke alikutwa na mwanamume asiye mume wake

sasa hapo shida ni nini?.....huyo mumewe anatakiwa ajue kuwa kwa siku hiyo hatakiwi yeye ndio maana mkewe kaenda kwingine....
huo mtaa wenu bana....hama huko....
 
Aminata bana, yaani kuona mtaa tu basi, je umeona nyumba anayoishi Saint? Ulitaka beach house nini? Umenifurahisha sana.. Yalinitokea hayo....
 
Yani sisi hata Bomu likipigwa, watu watakimbilia eneo la tukio. Tatizo hatujui shida!! au ushamba wa mambo!.
 
sasa hapo shida ni nini?.....huyo mumewe anatakiwa ajue kuwa kwa siku hiyo hatakiwi yeye ndio maana mkewe kaenda kwingine....
huo mtaa wenu bana....hama huko....

Preta Jamani hata wewe unasema hivyo!!
 
sasa hapo shida ni nini?.....huyo mumewe anatakiwa ajue kuwa kwa siku hiyo hatakiwi yeye ndio maana mkewe kaenda kwingine....
huo mtaa wenu bana....hama huko....
na kweli itabidi nihame aisee..ngoja nishauriane na aminata kwanza
 
mtaa unaishi mshkaji wangu ni sooo dah!........mi nilijua cjui uko wapi vile kumbe hapo mi aka tena loh!

Aminata vipi? hii forum ya watanganyika ambao 80 percent ni wakulima wa jembe la mkono. nyie ndo mnapenda maisha ya maigizo na kujifanya usafiri wenu ni pipa na pvt cars!
 
Back
Top Bottom